Paraguay

(Elekezwa kutoka Paragwai)

Paraguay (pia: Paragwai) ni nchi ya Amerika Kusini isiyo na pwani baharini.

República del Paraguay
Tetã Paraguái

Jamhuri ya Paraguay (au: Paragwai)
Bendera ya Paraguay Nembo ya Paraguay
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Kihispania: Paz y justicia
("Amani na Haki")
Wimbo wa taifa: Paraguayos, República o Muerte
("Waparaguay, jamuri au mauti")
Lokeshen ya Paraguay
Mji mkuu Asuncion
25°16′ S 57°40′ W
Mji mkubwa nchini Asunción
Lugha rasmi Kihispania, Kiguaraní
Serikali Jamhuri
Mario Abdo Benítez
Uhuru
imetangazwa

14 Mei 1811
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
406,752 km² (ya 60)
2.3%
Idadi ya watu
 - 2015 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
7,012,433 (ya 104)
17.2/km² (ya 204)
Fedha Guarani (PYG)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-4)
(UTC-3)
Intaneti TLD .py
Kodi ya simu +595

-


Ramani ya Paraguay
Nyumba mjini Asuncion

Imepakana na Argentina, Brazil na Bolivia.

Jina la 'Paraguay' limetokana na lugha ya Kiguarani na linamaanisha 'kutoka mto mkubwa'. Mto huu mkubwa ni Parana.

Mji mkuu ni Asuncion ulioundwa mwaka 1537 na Mhispania Juan de Salazar.

Historia

hariri

Paraguay ilikuwa koloni la Hispania, ikapata uhuru wake mwaka 1811.

Wakazi wengi (95%) ni machotara waliotokana na Waindio na Wazungu.

Lugha rasmi na za kawaida ni kwa pamoja Kiguarani (95%) na Kihispania (90%).

Upande wa dini, asilimia 89.9 ni Wakatoliki na 6.2% Waprotestanti.

Tazama pia

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Serikali
Taarifa za jumla
Vyombo vya habari
Biashara
Utalii
Nchi na maeneo ya Amerika Kusini

Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyani ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela

  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Paraguay kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.