Pepin Mfupi

Pepin Mfupi katika mchoro mdogo, Anonymi chronica imperatorum, 1112–1114 hivi.

Pepin Mfupi (kwa Kifaransa: Pépin le Bref; 714 hivi – 24 Septemba 768) alikuwa mfalme wa Wafaranki tangu mwaka 751 hadi kifo chake.

Alikuwa mtoto mdogo wa Karolo Nyundo na Rotrude wa Hesbaye, akawa baba wa Karolo Mkuu.

TanbihiEdit

MarejeoEdit

  • Brown, T.S. (1995). "Byzantine Italy", The New Cambridge Medieval History, c.700-c.900 Vol. II. Cambridge University Press. 
  • Dutton, Paul Edward (2008). Charlemagne's Mustache: And Other Cultural Clusters of a Dark Age. Palgrave Macmillan. 
  • Enright, M.J. (1985). Iona, Tara, and Soissons: The Origin of the Royal Anointing Ritual. Walter de Gruyter. 
  • Lewis, Archibald R. (2010). The Development of Southern French and Catalan Society, 718–1050. THE LIBRARY OF IBERIAN RESOURCES ONLINE. 
  • Petersen, Leif Inge Ree (2013). Siege Warfare and Military Organization in the Successor States (400-800 AD): Byzantium, the West and Islam. Leiden: Brill Publishers. ISBN 978-90-04-25199-1. 
  • Riché, Pierre (1993). The Carolingians: A Family Who Forged Europe. University of Pennsylvania Press. 
  • (2002) The Rise of the Medieval World, 500-1300: A Biographical Dictionary. Greenwood Press. 
  • (2011) A Global Chronology of Conflict Vol. I. ABC-CLIO. 

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pepin Mfupi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.