Simeoni wa Siracusa

Simeoni wa Siracusa (pia: wa Trier; Siracusa, Sicilia, Italia, 987; Trier, Rheinland-Pfalz, Ujerumani, 1035) alikuwa mkaapweke na shemasi[1] aliyeishi sehemu mbalimbali za Palestina na katika Mlima Sinai.

Kaburi lake huko Trier.

Baada ya matukio mengi aliishia Ujerumani amejifungia katika mnara hadi kifo chake[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Juni[4][5].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

  • Eberwin, ‘De sancto Symeone, recluso in porta Trevirensi’, Acta Sanctorum, Jun 1, cols 0089A-0101E.
  • Maurice Coens, ‘Un document inédit sur le culte de S. Syméon, moine d’orient et reclus a Trèves’, Analecta Bollandiana 68 (1950), 181-96.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.