27 Aprili
tarehe
(Elekezwa kutoka Aprili 27)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 27 Aprili ni siku ya 117 ya mwaka (ya 118 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 248.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1822 - Ulysses S. Grant, Rais wa Marekani (1869-1877)
- 1945 - August Wilson, mwandishi kutoka Marekani
- 1951 - Mario Das Neves, mwanasiasa wa Argentina
- 1959 - Andrew Fire, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2006
- 1962 - Edvard Moser, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2014
Waliofariki
hariri- 1272 - Mtakatifu Zita wa Lucca, bikira kutoka Italia
- 1521 - Ferdinand Magellan, mpelelezi kutoka Ureno
- 1605 - Papa Leo XI
- 1927 - Albert Jeremiah Beveridge, mwanasiasa na mwandishi kutoka Marekani
- 1972 - Kwame Nkrumah, Rais wa kwanza wa Ghana
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Simeoni I wa Yerusalemu, Polioni, Theodori wa Tabennese, Liberali wa Altino, Meugan, Yohane wa Afusia, Zita wa Lucca, Pere Ermengol, Laurenti Nguyen Van Huong n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 27 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |