3 Aprili

tarehe
(Elekezwa kutoka Aprili 3)
Mac - Aprili - Mei
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 3 Aprili ni siku ya 93 ya mwaka (ya 94 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 272.

Matukio hariri

Waliozaliwa hariri

Waliofariki hariri

Sikukuu hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Sisto I, Kresto na Papo, Ulpiani wa Turo, Yohane wa Napoli, Niseta wa Medikion, Yosefu Mtungatenzi, Richard wa Chichester, Luigi Scrosoppi n.k.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 3 Aprili kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.