25 Desemba
tarehe
(Elekezwa kutoka Desemba 25)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 25 Desemba ni siku ya 359 ya mwaka (ya 360 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 6.
Matukio
hariri- 1046 - Uchaguzi wa Papa Klementi II
- 1066 - William Mshindi wa Normandy anapokea cheo cha mfalme wa Uingereza
- 1559 - Uchaguzi wa Papa Pius IV
Waliozaliwa
hariri- 1876 - Adolf Windaus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1928
- 1899 - Humphrey Bogart, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1904 - Gerhard Herzberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979
- 1906 - Ernst Ruska, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1986
- 1918 - Anwar Sadat, rais wa Misri, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka 1971
- 1931 - Raphael S. Ndingi Mwana a'Nzeki, askofu mkuu wa Kanisa Katoliki jijini Nairobi (Kenya)
Waliofariki
hariri- 795 - Papa Adrian I
- 1926 - Yoshihito, Mfalme Mkuu wa Japani
- 1961 - Otto Loewi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1936
- 1977 - Charlie Chaplin, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
Sikukuu
haririKwa Wakristo walio wengi 25 Desemba ni sherehe ya Krismasi (au Noeli) inayoadhimisha kuzaliwa kwake Yesu Kristo, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Anastasia wa Srijem, Eujenia wa Roma, Jovino na Basileo, Alberti Chmielowski n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 25 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |