Eneo bunge la Kandara

(Elekezwa kutoka Eneo Bunge la Kandara)


Eneo bunge la Kandara ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge saba katika Kaunti ya Murang'a.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Wabunge

hariri
Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Bildad Kaggia KANU Mfumo wa chama kimoja
1966 Thaddeo Mwaura KANU Mfumo wa chama kimoja
1969 George Ndung’u Mwicigi KANU Mfumo wa chama kimoja
1974 George Ndung’u Mwicigi KANU Mfumo wa chama kimoja
1979 George Ndung’u Mwicigi KANU Mfumo wa chama kimoja
1980 David Ngethe Waweru KANU Uchaguzi mdogo, Mfumo wa chama kimoja
1983 George Ndung’u Mwicigi KANU Mfumo wa chama kimoja
1988 Wilson Mburu Kimani KANU Mfumo wa chama kimoja
1992 Gacuru wa Karenge Ford-Asili
1997 Joshua Ngugi Toro Democratic Party (DP)
2002 Joshua Ngugi Toro NARC
2007 James Maina Kamau PNU
'
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa Mamlaka ya mtaa
Gakui / Karimamwaro 3,550 Mji wa Kandara
Gathugu / Ruchu / Gakarara 2,629 Mji wa Kandara
Gatundu / Kiiri / kandara 3,743 Mji wa Kandara
Kaguthi / Githuya 4,139 Mji wa Kandara
Gaichanjiru 8,773 Baraza la mji wa Maragua
Kagunduini 11,254 Baraza la mji wa Maragua
Muruka 17,895 Baraza la mji wa Maragua
Ruchu 17,485 Baraza la mji wa Maragua
Jumla 69,468
*Septemba 2005 | [2]

Marejeo

hariri