Eneo bunge la Mukurweini


Eneo bunge la Mukurweini ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Kaunti ya Nyeri. Eneo Bunge la Mukurweini linajumuisha taarafa ya Mukurweini katika Wilaya ya Nyeri.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Mukurweini lina wadi saba, ambazo zote huwachagua madiwani katika Baraza la Mji wa Nyeri. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Wabunge

hariri
Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1969 Mwai M. Koigi KANU Mfumo wa Chama kimoja
1974 Henry Clement Wariithi KANU Mfumo wa Chama kimoja
1979 Henry Clement Wariithi KANU Mfumo wa Chama kimoja
1983 Ngumbu Njururi Maiyani KANU Mfumo wa Chama kimoja.
1988 Ngumbu Njururi Maiyani KANU Mfumo wa Chama kimoja.
1992 David Muhika Mutahi Democratic Party
1997 David Muhika Mutahi Democratic Party
2002 Mutahi Kagwe NARC
2007 Kabando wa Kabando Safina
'
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa
Gakindu 7,828
Giathugu 8,388
Gikondi 6,330
Githi 6,502
Muhito 9,463
Rutune 4,717
Thanu 3,589
Total 46,817
*Septemba 2005 | [2]

Marejeo

hariri