Antili Ndogo
(Elekezwa kutoka Lesser Antilles)
Antili Ndogo ni kundi la visiwa vidogo katika bahari ya Atlantiki mbele ya pwani ya Amerika ya Kati. Ni sehemu ya kusini ya Visiwa vya Karibi.
Antili ndogo ina umbo la upinde kati ya pwani ya Venezuela na kisiwa kikubwa cha Puerto Rico.
Jiolojia
haririUpinde huo hufuata mstari wa mpaka wa bamba la Karibi. Visiwa vyote ni vya asili ya kivolkeno. Volkeno hai na mitetemeko ya ardhi ni kawaida.
Orodha ya visiwa
hariri- Visiwa vya Virgin vya Marekani: St. Thomas, St. John, St. Croix
- Visiwa vya Virgin vya Uingereza: Tortola, Virgin Gorda, Anegada, Jost Van Dyke
- Anguilla (Kiing.)
- Saint Martin (chini ya Ufaransa pamoja na Antili za Kiholanzi).
- Saint-Barthélemy (Kifar.)
- Saba (Kihol.)
- Sint Eustatius (Kihol.)
- Saint Kitts
- Nevis
- Barbuda
- Antigua
- Redonda
- Montserrat (Kiing.)
- Guadeloupe (Kifar.)
- La Désirade (Kifar.)
- Les Saintes (Kifar.)
- Marie-Galante (Kifar.)
- Dominica
- Martinique (Kifar.)
- Saint Lucia
- Barbados
- Saint Vincent
- Grenadines
- Grenada
- Trinidad and Tobago
Visiwa karibu na pwani ya Venezuela:
- Aruba (Kihol.)
- Curaçao (Kihol.)
- Bonaire (Kihol.)
- Funguvisiwa la Venezuela
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Antili Ndogo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |