Saint Lucia
Saint Lucia ni nchi ya kisiwani katika bahari ya Karibi na sehemu ya visiwa vya Antili Ndogo. Iko katikati ya visiwa vya Saint Vincent na Grenadini, Barbados na Martinique.
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: The Land, The People, The Light | |||||
Wimbo wa taifa: "Sons and Daughters of Saint Lucia" Royal anthem: "God Save the King" | |||||
Mji mkuu | Castries | ||||
Mji mkubwa nchini | Castries | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali Mfalme Gavana Mkuu Waziri Mkuu |
Demokrasia Jumuiya ya Madola Charles III wa Uingereza Cyril Errol Charles Philip Pierre | ||||
Uhuru Tarehe |
Kutoka Uingereza 22 Februari 1979 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
617 km² (ya 193) 1.6% | ||||
Idadi ya watu - [[]] kadirio - 2005 sensa - Msongamano wa watu |
2018 (ya 177) 178,696 299.4/km² (ya 29) | ||||
Fedha | East Caribbean dollar (XCD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-4) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .lc | ||||
Kodi ya simu | +1-758
- |
Kisiwa kina asili ya volkeno na eneo la milimamilima.
Jina linatokana na lile la Mtakatifu Lusia na kulifanya nchi pekee duniani yenye jina la mwanamke.
Watu
haririWakazi walio wengi ni wa asili ya Afrika (85.3%), halafu machotara Waafrika-Wazungu na Waafrika-Wahindi (10.9%), Wahindi (2.2%), Wazungu (0.6%).
Lugha rasmi ni Kiingereza, lakini wananchi wengi (95%) wanaongea kwa kawaida Patwah, Krioli inayotokana na Kifaransa na kufanana na Kihaiti.
Upande wa dini, wengi ni Wakristo: 62.5% ni Wakatoliki, 24.5% ni Waprotestanti (7% Waadventista Wasabato, 6% Wapentekoste, n.k.), 1.9% ni Warastafari, 1.4% Wahindu n.k.
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Official website of the Government of Saint Lucia
- Chief of State and Cabinet Members Ilihifadhiwa 26 Oktoba 2009 kwenye Wayback Machine.
- Saint Lucia entry at The World Factbook
- Saint Lucia Ilihifadhiwa 17 Februari 2009 kwenye Wayback Machine. from UCB Libraries GovPubs
- Saint Lucia katika Open Directory Project
- St Lucia from the BBC News
- Wikimedia Atlas of Saint Lucia
- Key Development Forecasts for Saint Lucia from International Futures
- Guide to the island of St. Lucia Ilihifadhiwa 11 Julai 2014 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saint Lucia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |