Papa Adrian III

Papa Adrian III alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Mei 884 hadi kifo chake mnamo Agosti/Septemba 885[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Mt. Adriano III.

Alimfuata Papa Marinus I akafuatwa na Papa Stefano V.

Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mtakatifu mwaka 1891.

Sikukuu yake ni 8 Julai[3].

Tazama piaEdit

MaandishiEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Adrian III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.