17 Septemba
tarehe
(Elekezwa kutoka Septemba 17)
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 17 Septemba ni siku ya 260 ya mwaka (ya 261 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 105.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1550 - Papa Paulo V
- 1869 - Christian Lous Lange, mwanasiasa Mnorwei na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1921
- 1883 - William Carlos Williams, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1963
- 1939 - Carl Dennis, mshairi kutoka Marekani
- 1971 - Ian Whyte, mwigizaji filamu kutoka Welisi
Waliofariki
hariri- 1179 - Mtakatifu Hildegarda wa Bingen, bikira na mwalimu wa Kanisa kutoka Ujerumani
- 1621 - Mtakatifu Roberto Bellarmino, S.I., askofu na mwalimu wa Kanisa kutoka Italia
- 1866 - Mtakatifu Fransisko Maria wa Camporosso, O.F.M.Cap., bradha nchini Italia
- 1996 - Spiro Agnew, Kaimu Rais wa Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Hildegarda wa Bingen, Roberto Bellarmino, Satiro wa Milano, Lambati wa Maastricht, Rodingo, Kolomba wa Cordoba, Rejinaldo, Petro wa Arbues, Stanislaus Papczynski, Emanueli Nguyen Van Trieu, Fransisko Maria wa Camporosso, Sigimundi Felinski n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 17 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |