25 Septemba
tarehe
(Elekezwa kutoka Septemba 25)
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 25 Septemba ni siku ya 268 ya mwaka (ya 269 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 97.
Matukio
hariri- 1066 - Mapigano ya daraja la Stamford (Uingereza): Mfalme Harold wa Uingereza anazuia jaribio la Wanorway la kuvamia Uingereza. Jeshi la Uingereza linaelekea mbio kusini dhidi ya Wanormani
- 1143 - Uchaguzi wa Papa Celestino II
Waliozaliwa
hariri- 1862 - Billy Hughes, Waziri Mkuu wa Australia)
- 1866 - Thomas Hunt Morgan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1933
- 1897 - William Faulkner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1949
- 1944 - Michael Douglas, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1963 - Tate Donovan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1963 - Keely Shaye Smith, mwandishi wa habari kutoka Marekani, mke wa Pierce Brosnan
- 1968 - Will Smith, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1980 - T.I., mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1066 - Mfalme Harald III wa Norway
- 1534 - Papa Klementi VII
- 1617 - Go-Yozei, mfalme mkuu wa Japani (1586-1611)
- 1986 - Nikolay Semyonov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1956
- 1991 - Klaus Barbie, mwanajeshi wa SS ya Adolf Hitler
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Kleofa, Firmini wa Amiens, Paulo, Tata na wanao, Solemni wa Chartres, Prinsipi wa Soissons, Finbari, Aunakari, Ermenfridi, Sergi wa Radonezh n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 25 Aprili 2023 kwenye Wayback Machine.
- On this day in Canada Ilihifadhiwa 15 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 25 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |