Utengenezaji

Utengenezaji ni uundaji wa vitu kwa kutumia kazi ya binadamu, mashine, vifaa n.k.

Mzunguko wa utengenezaji.
Finished regenerative thermal oxidizer at manufacturing plant
Assembly of Section 41 of a Boeing 787 Dreamliner
An industrial worker amidst heavy steel semi-products (KINEX BEARINGS, Bytča, Slovakia, c. 1995–2000)

Unahesabika kama sekta ya pili ya uchumi.[1]

Inaweza kuitwa hivyo kazi ya fundi binafsi lakini hasa ile ya viwanda vikubwa vinavyotumia teknolojia ya kielektroni.

Orodha ya nchi 50 zenye utengenezaji mkubwa zaidiEdit

Orodha hii ya Benki ya Dunia inahesabu utengenezaji kwa dolar za Marekani.[2]

Nafasi Nchi/Eneo Milioni za dola Mwaka
 Dunia 13,809,122 2019
1   China 3,896,345 2019
2   United States 2,317,176 2018
3   Japan 1,027,967 2018
4   Germany 747,731 2019
5   South Korea 416,903 2019
6   India 394,531 2019
7   Italy 298,442 2019
13   Brazil 173,668 2019
8   France 266,634 2019
9   United Kingdom 243,114 2019
10   Russia 222,544 2019
11   Indonesia 220,503 2019
12   Mexico 217,852 2019
14   Spain 154,833 2019
15   Canada 151,724 2016
16   Turkey 143,017 2019
17   Thailand 137,544 2019
18   Switzerland 131,718 2019
19   Ireland 119,868 2019
20   Poland 100,011 2019
21   Netherlands 99,648 2019
22   Saudi Arabia 99,438 2019
23   Australia 78,657 2019
24   Malaysia 78,279 2019
25   Austria 74,710 2019
26   Singapore 73,677 2019
27   Philippines 69,568 2019
28   Sweden 69,262 2019
29   Belgium 63,569 2019
30   Venezuela 58,236 2014
31   Argentina 57,726 2019
32   Bangladesh 57,284 2019
33   Czech Republic 55,270 2019
34   Iran 53,417 2017
35   Nigeria 51,634 2019
36   Egypt 48,241 2019
37 Template loop detected: Kigezo:Flag 47,834 2018
38   Denmark 45,507 2019
39   Israel 44,314 2018
40   Vietnam 43,172 2019
41   Romania 42,453 2019
42   South Africa 41,400 2019
43   Algeria 41,278 2019
44   Finland 38,670 2019
45   United Arab Emirates 36,727 2019
46   Colombia 35,439 2019
47   Pakistan 34,658 2019
48   Oman 30,283 2018
49   Hungary 29,349 2019
50   Peru 28,733 2018

TanbihiEdit

VyanzoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Utengenezaji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.