18 Desemba
tarehe
(Elekezwa kutoka Desemba 18)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 18 Desemba ni siku ya 352 ya mwaka (ya 353 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 13.
Matukio
hariri- 1352 - Uchaguzi wa Papa Innocent VI
Waliozaliwa
hariri- 1856 - Joseph John Thomson, mwanafizikia kutoka Uingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1906
- 1878 - Josef Stalin, dikteta wa Umoja wa Kisovyeti (1924-1953)
- 1910 - Abe Burrows, mwandishi kutoka Marekani
- 1913 - Willy Brandt, Chansela wa Ujerumani (1969-1974)
- 1939 - Harold Varmus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1989
- 1946 - Steve Biko, mwanasiasa kutoka Afrika Kusini
- 1946 - Steven Spielberg, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 1962 - James Sie, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1968 - Casper Van Dien, mwigizaji filamu kutoka Marekani
Waliofariki
haririSikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Nabii Malaki, Namfamo, Mijin, Sanami, Luchita, Grasyano wa Tours, Paulo Nguyen Van My, Petro Truong Van Duong, Petro Vu Van Truat n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 18 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |