5 Desemba
tarehe
(Elekezwa kutoka Desemba 5)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Desemba ni siku ya 339 ya mwaka (ya 340 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 26.
Matukio
hariri- 1590 - Uchaguzi wa Papa Gregori XIV
Waliozaliwa
hariri- 1443 - Papa Julius II
- 1782 - Martin Van Buren, Rais wa Marekani (1837-1841)
- 1901 - Werner Heisenberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1932
- 1901 - Walt Disney, mwongozaji wa filamu na mwanakatuni kutoka Marekani
- 1903 - Cecil Frank Powell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1950
- 1932 - Sheldon Glashow, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1979
- 1936 - Lewis Nkosi, mwandishi wa habari kutoka Afrika Kusini
- 1982 - Keri Hilson, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1984 - Lauren London, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1995 - Anthony Martial, mchezaji wa mpira kutoka Ufaransa
Waliofariki
hariri- 1791 - Wolfgang Amadeus Mozart, mtunzi wa muziki kutoka Austria
- 1925 - Wladyslaw Reymont, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1924
- 1965 - Joseph Erlanger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944
- 2012 - Dave Brubeck, mwanamuziki kutoka Marekani
- 2013 - Nelson Mandela, rais wa Afrika Kusini, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1993
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Krispina wa Tagora, Saba, Lusido, Jeradi wa Braga, Yohane Almond n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |