Fransisko Saveri
Fransisko Saveri (jina asili: Francisco de Jasso y Azpilicueta; Javier, Navarra, leo nchini Hispania, 7 Aprili 1506 - kisiwa cha Shangchuan, China, 3 Desemba 1552) alikuwa padri wa Shirika la Yesu, ambalo alichangia kulianzisha pamoja na Ignas wa Loyola.
Baadaye, akisukumwa na hamu yenye ari ya kueneza Injili, alimtangaza Kristo kwa bidii katika nchi nyingi za Ulaya, Afrika na Asia hata akawa kati ya wamisionari maarufu zaidi ya historia ya Kanisa.
Baada ya kuwahubiria makabila mengi ya India, visiwa vya Maluku na vinginevyo, huko Japani aliongoa watu wengi kwenye imani ya Ukristo akafa hatimaye karibu na China bara, ameishiwa nguvu na maradhi na kazi nyingi[1].
Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mwenye heri tarehe 25 Oktoba 1619, halafu Papa Gregori XV akamtangaza mtakatifu tarehe 12 Machi 1622.
Anaheshimiwa na Waanglikana na Walutheri pia.
Sala yake
haririEe Mungu wa mataifa yote ya dunia, uukumbuke umati wa Wapagani ambao, ingawa waliumbwa kwa sura yako, hawajakufahamu wewe wala kifo cha Mwanao Yesu Kristo, mwokozi wao.
Fanya kwamba, kwa sala na kazi za Kanisa lako takatifu, wakombolewe kutoka ushirikina wote na utovu wa imani wakaletwe kwenye ibada zako.
Kwa njia ya yule uliyemtuma awe ufufuo na uzima wa watu wote, huyo Mwanao Yesu Kristo, Bwana wetu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- This article incorporates material from the Schaff-Herzog Encyclopedia of Religion
- Attwater, Donald. (1965) A Dictionary of Saints. Penguin Books, Middlesex, England. Reprint: 1981.
- Jou, Albert. (1984) The Saint on a Mission. Anand Press, Anand, India.
Viungo vya nje
hariri- "St. Francis Xavier, Apostle of the Indies, Confessor", Butler's Lives of the Saints
- The Life and Miracles of St. Francis Xavier, Apostle and Missionary of the Indies Ilihifadhiwa 4 Mei 2010 kwenye Wayback Machine.
- Basilica of Bom Jesus, Old Goa Ilihifadhiwa 31 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine. The Shrine of Saint Francis Xavier
- Saint Francis Xavier University Antigonish, Nova Scotia
- The Life of St. Francis Xavier Ilihifadhiwa 24 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
- The life and letters of St. Francis Xavier Francis Xavier, Saint, 1506-1552 Coleridge, Henry James, 1822-1893 London: Burns and Oates, (1872)
- Xavier's World Ilihifadhiwa 17 Septemba 2009 kwenye Wayback Machine. website of Navarre Department of Education celebrating 500th anniversary of their patron saint's birth
- A critical view Ilihifadhiwa 16 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
- St. Francis Xavier - Pictorial Biography Ilihifadhiwa 5 Julai 2007 kwenye Wayback Machine.
- Saint François Xavier Ilihifadhiwa 14 Desemba 2002 kwenye Wayback Machine. (Kifaransa)
- St. Francis of the Millennium Ilihifadhiwa 23 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- The Goa Jesuit Province of the Society of Jesus: The Jesuits in Goa
- The Feast of St Francis Xavier in Goa Ilihifadhiwa 7 Desemba 2004 kwenye Wayback Machine.
- Picture of Shangchuan island. The chapel marks the location of his death Ilihifadhiwa 16 Oktoba 2003 kwenye Wayback Machine.
- Another picture of the church on Shangchuan island
- Old map of Shangchuan island Ilihifadhiwa 12 Machi 2004 kwenye Wayback Machine.
- The Miracles of St Francis Xavier by John Hardon, SJ
- St Francis Xavier: History of His Incorrupt Body
- Brief History of St Francis Xavier Ilihifadhiwa 10 Oktoba 2018 kwenye Wayback Machine.
- Saint Francis Xavier Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2008 kwenye Wayback Machine. at Patron Saints Index
- St Francis Xavier Catholic Parish in Brunswick, GA Ilihifadhiwa 18 Desemba 2014 kwenye Wayback Machine.
- St. Francis Xavier Catholic Church in Parkersburg, WV
- Yomiuri Shimbun: St. Francis Xavier – 90% name recognition amongst primary school students in Japan, 2008.
- Hidemi Mizuta, "Intercultural Contact in the Age of St. Francis Xavier" Hiroshima Interdisciplinary Studies in the Humanities, Vol.1 page.15-24 Ilihifadhiwa 18 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |