Karne ya 7 KK
karne
(Elekezwa kutoka Karne VII K.K.)
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Milenia ya 2 KK |
Milenia ya 1 KK |
Milenia ya 1 |
►
◄ |
Karne ya 9 KK |
Karne ya 8 KK |
Karne ya 7 KK |
Karne ya 6 KK |
Karne ya 5 KK |
►
Karne ya 7 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 700 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 601 KK.
- 689 KK: Senakeribu, mfalme wa Asiria anateka Babuloni.
- 687 KK: Manase anashika nafasi ya baba yake, Hezekia, katika ufalme wa Yuda.
- 668 KK: Ninawi inakuwa mji mkubwa kuliko yote duniani
- 668 KK: Misri inaasi utawala wa Waashuru.
- 631 KK: Wagiriki wanaunda Kurene huko Libia.
- 626 KK: Nabopolasar anaanzisha ufalme mpya wa Babuloni.
- 622 KK: Katika hekalu la Yerusalemu kinapatikana kitabu cha sheria ya Musa kutoka Israeli kaskazini. Mwanzo wa urekebisho wa mfalme Yosia.
- 612 KK: Ninawi inatekwa na Wababuloni na Wamedi. Babuloni inakuwa mji mkubwa duniani.
- 604 KK: Nebukadreza II aanza utawala wake kama mfalme wa Babeli akimfuata baba yake Nabopolassar.
- Sarafu za kwanza zinazojulikana duniani zinatolewa Lydia kwenye pwani ya magharibi ya Anatolia - wakati ule eneo la Wagiriki wa Kale.
- Ujenzi wa Ukuta Mkubwa wa China unaanza utakaoendelea kwa karibu miaka 2000
Matukio
haririWatu
hariri- 641 KK-609 KK: Mfalme Yosia huko Yerusalemu
- Nabii Sefania katika ufalme wa Yuda.
- Nabii Yeremia katika ufalme wa Yuda.
- Nabii Nahumu katika ufalme wa Yuda.
- Nabii Habakuki katika ufalme wa Yuda.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 7 KK kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |