Kitabu cha Baruku
Kitabu cha Baruku ni kimojawapo kati ya vitabu vya deuterokanoni vya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo.
Uandishi
haririKadiri ya utangulizi wake (Bar 1:1-14), kiliandikwa na Baruku, karani wa nabii Yeremia, wakati wa uhamisho wa Wayahudi huko Babuloni katika karne ya 6 K.K..
Hata hivyo wataalamu wanaona kiliandikwa katika karne ya 2 K.K. moja kwa moja katika lugha ya Kigiriki, isipokuwa labda sehemu ya pili inatokana na andiko asili la Kiebrania.
Mazingira
haririKitabu kinatuingiza katika Uyahudi wa mtawanyiko na kutuonyesha jinsi maisha maadilifu ya kidini yalivyodumishwa kwa kuhusiana na Yerusalemu, kwa kudumisha sala na kushika Torati.
Ufafanuzi
haririKama vitabu vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.
Viungo vya nje
hariri- Jewish Encyclopedia: Baruch
- N.A.B. Introduction to Baruch Ilihifadhiwa 19 Juni 2008 kwenye Wayback Machine.
- Prophecy of Baruch Ilihifadhiwa 25 Januari 2009 kwenye Wayback Machine. Full Text by chapter
- Latin Vulgate with Douay-Rheims freeware with bookmarking, search, and other features
- The Book of Baruch Full text from http://St-Takla.org (also available in Arabic)
- World Wide Study Bible: Baruch
- 1Baruch 2012 Translation & Audio Version
Mwanzo * Kutoka * Walawi * Hesabu * Kumbukumbu * Yoshua * Waamuzi * Ruthu * Samueli I * Samueli II * Wafalme I * Wafalme II * Mambo ya Nyakati I * Mambo ya Nyakati II * Ezra * Nehemia * TobitiDK * YudithiDK * Esta * Wamakabayo IDK * Wamakabayo IIDK * Yobu * Zaburi * Methali * Mhubiri * Hekima DK * SiraDK * Wimbo Bora * Isaya * Yeremia * Maombolezo * BarukuDK * Ezekieli * Danieli * Hosea * Yoeli * Amosi * Obadia * Yona * Mika * Nahumu * Habakuki * Sefania * Hagai * Zekaria * Malaki
Alama ya DK inaonyesha vitabu vya deuterokanoni visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitabu cha Baruku kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |