Rekodi kuu za umma

Hapa panaonyeshwa kumbukumbu zote za Wikipedia kwa pamoja. Unaweza kuona baadhi yao tu kwa kuchagua aina fulani ya kumbukumbu, jina la mtumiaji fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo), au jina la ukurasa fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo).

Kumbukumbu
  • 10:16, 2 Julai 2023 Garnacite majadiliano michango created page Robert Lanctôt (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Robert Lanctôt''' (alizaliwa Novemba 19, 1963) ni mwanasiasa na wakili wa zamani kutokea Kanada. Mwanasheria kitaaluma, Lanctôt alichaguliwa kama Mbunge wa Bloc Québécois katika uchaguzi wa shirikisho wa mwaka wa 2000 akiwakilisha viongozi wa Châteauguay. Alifanya kazi katika Baraza la Mawaziri Kivuli la BQ kama Mkosoaji wa Michezo ya daraja la kati na Watoto na Vijana kutoka 2000 hadi 2002, Mkosoaji wa Uchunguz...')
  • 09:27, 2 Julai 2023 Garnacite majadiliano michango created page Tanya Kappo (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Tanya Kappo''' (Cree) ni mwanaharakati wa haki za wenyeji. Tanya ni mmoja wa wanawake wanne walioanzisha Idle No More na kwa muda mfupi alikuwa meneja wa mahusiano ya jamii wa Uchunguzi wa Kitaifa wa Umma wa Kanada kuhusu Wanawake na Wasichana wenyeji Waliopotea na Kuuawa. == '''Maisha ya awali na elimu''' == Kappo anatoka ''Sturgeon Lake Cree Nation'' katika ''Treaty 8 Territory'' na alilelewa kwenye Hifadhi ya Alberta ya Kaskazini-magharibi k...')
  • 08:30, 2 Julai 2023 Garnacite majadiliano michango created page Cristiano Zanin (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Cristiano Zanin Martins''' (alizaliwa 15 Novemba 1975) ni wakili na profesa kutokea Brazil. Alipata sifa mbaya kama wakili wa kibinafsi wa rais Luiz Inácio Lula da Silva katika kesi zinazohusiana na Operesheni Car Wash. Mnamo tarehe 1 Juni 2023, Zanin aliteuliwa na rais Lula da Silva kama Jaji wa Mahakama ya Juu ya Shirikisho, akichukua nafasi ya Jaji mstaafu alieitwa ''Ricardo Lewandowski''.<ref>{{cite web|url=https://www....')
  • 12:58, 10 Juni 2023 Garnacite majadiliano michango created page Karim Achahbar (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Karim Achahbar''' (alizaliwa 3 Januari 1996) ni mwanasoka wa kulipwa ambaye anacheza kama mshambuliaji wa timu ya akiba ya '''''Chamois Niortais'''''. Mzaliwa wa Ufaransa, aliiwakilisha Moroko katika viwango vya kimataifa ngazi ya vijana. == '''Maisha ngazi ya klabu''' == Mshambuliaji huyu alijiunga na EA Guingamp mwaka wa 2014. Alichangia upatikanaji wa taji la EA Guingamp la 201314 la Coupe de France kwa kucheza dhidi...')
  • 11:45, 10 Juni 2023 Garnacite majadiliano michango created page Nacer Abdellah (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Nacer Abdellah''' (alizaliwa 3 Machi 1966 huko Sidi Slimane) ni mwanasoka aliyestaafu kutoka nchini Moroko. Abdellah alianza soka lake nchini Ubelgiji akiwa na klabu iitwayo KV Mechelen, na alicheza muda mwingi wa maisha yake ya soka katika timu za Ubelgiji. Pia aliichezea Moroko mechi 24, na alicheza kwenye Kombe la Dunia la FIFA la 1994 katika mechi dhidi ya Ubelgiji na Saudi Arabia. Kabla ya Kombe la Dunia la 1994 nc...')
  • 10:35, 10 Juni 2023 Garnacite majadiliano michango created page Ayoub Abou (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ayoub Abou Oulam''' (alizaliwa 28 Juni 1998) ni mwanasoka kutoka nchini Moroko ambaye anacheza kama kiungo wa klabu iliyopo Serie C kutokea nchini Italia iitwaayo SPAL. == '''Kazi''' == Abou alizaliwa mjini Casablanca lakini alihamia Barcelona akiwa na umri wa miaka tisa. Baadaye alijiunga na La Masia ya FC Barcelona, ​​<ref name="es">{{Cite web|url=https://www.sport.es/es/noticias/barca/ayoub-abou-unico-objetivo-ahora-llega...')
  • 10:04, 10 Juni 2023 Garnacite majadiliano michango created page Haitam Abaida (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Haitam Abaida El Achhab''' (amezaliwa 1 Juni 2002) ni mwanasoka anayechezea klabu ya iliyopo nchini Hispania iitwayo Málaga CF. Amebobea zaidi akicheza kama mshambuliaji wa kushoto, anaweza pia kucheza kama mlinzi wa kulia. Alizaliwa Hispania, aliiwakilisha Moroko katika ngazi ya kimataifa ya vijana. == '''Maisha ngazi ya klabu''' == Alizaliwa Polinya, mjini Barcelona, ​​Wazazi wake ni wa nchi mbili tofauti mmoja akitokea Catalonia...')
  • 09:20, 10 Juni 2023 Garnacite majadiliano michango created page Nordin Amrabat (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Noureddine "Nordin" Amrabat''' (kiarabu: نورالدين أمرابط, lugha za Kibabeli: ⵏⵓⵓⵔⴷⴷⵉⵏ ⴰⵎⵔⴰⴱⴰⵜ; alizaliwa 31 Machi 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa anaecheza kama mshambuliaji wa pembeni katika ligi kuu ya ugiriki akicheza katika klabu iitwayo AEK Athens. Mshambuliaji huyu aliwahi kukipiga katika timu ya taifa ya vijana ya Uholanzi, lakini aliwahi kuitwa mara moja katika timu ya wakub...') Tag: Visual edit: Switched
  • 12:54, 27 Mei 2023 Garnacite majadiliano michango created page Mtumiaji:Garnacite (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==Monica G. Turner== '''Monica G. Turner''' ni mwanaikolojia wa Kimarekani anatambulika kutokana na kazi anayofanya katika ''Hifadhi ya Kitaifa ya Yellowstone'' tangu kulipotokea ''mioto ya mwituni mnamo 1988''. Monica sasa ni Profesa wa ''Eugene P. Odum'' wa Ikolojia katika ''Chuo Kikuu cha Wisconsin–Madison''. <ref name="Depzoo">{{cite web |url=http://landscape.zoology.wisc.edu/People/Turner/Turner_CV_Web_Feb09.pdf |title=Department of Zoology Universi...')
  • 10:21, 27 Mei 2023 Garnacite majadiliano michango created page Ellen Thomas (Imechapishwa na Brian Francis(@Garnacite)) Tag: Visual edit: Switched
  • 09:27, 27 Mei 2023 Garnacite majadiliano michango created page Chai Jing (Imeandikwa na Brian Francis)
  • 08:08, 27 Mei 2023 Akaunti ya mtumiaji Garnacite majadiliano michango iliundwa