Papa Innocent I

Mt. Inosenti I.

Papa Innocent I alikuwa papa kuanzia Desemba 401 hadi kifo chake tarehe 12 Machi 417. Alimfuata Papa Anastasio I akafuatwa na Papa Zosimus.

Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 12 Machi au 28 Julai.

Tazama piaEdit

Maandishi yakeEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.