Papa Paskali I

Mt. Paskali I.

Papa Paskali I alikuwa papa kuanzia 25 Januari 817 hadi kifo chake tarehe 11 Februari 824.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Paskale Massimi, mwana wa Bonosus.

Alimfuata Papa Stefano IV akafuatwa na Papa Eugenio II.

Anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe ya kifo chake.

Tazama piaEdit

MaandishiEdit

MarejeoEdit

  • John N.D. Kelly, Gran Dizionario Illustrato dei Papi, Edizioni Piemme S.p.A., 1989, Casale Monferrato (AL), ISBN 88-384-1326-6
  • Claudio Rendina, I papi, Ed. Newton Compton, Roma, 1990

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Paskali I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.