3 Septemba
tarehe
(Elekezwa kutoka Septemba 3)
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 3 Septemba ni siku ya 246 ya mwaka (ya 247 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 119.
Matukio
hariri- 1540 - Gelawdewos anatangazwa kuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kwa jina la Asnaf Sagad I
- 1783 - Kufuatana na Mkataba wa Paris, nchi ya Marekani inapata uhuru rasmi kutoka Uingereza
- 1914 - Uchaguzi wa Papa Benedikto XV
Waliozaliwa
hariri- 1034 - Go-Sanjo, mfalme mkuu wa Japani (1068-1073)
- 1869 - Fritz Pregl, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1923
- 1899 - Frank Burnet, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1960
- 1905 - Carl David Anderson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936
- 1926 - Alison Lurie, mwandishi kutoka Marekani
- 1938 - Ryoji Noyori, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2001
- 1940 - Joseph Sinde Warioba, Waziri Mkuu wa Tanzania
- 1947 - Kjell Magne Bondevik, Waziri mkuu wa Norwei (1997-2000; 2001-2005)
- 1948 - Levy Mwanawasa, Rais wa tatu wa Zambia (2001-2008)
Waliofariki
hariri- 931 - Uda, mfalme mkuu wa Japani (887-897)
- 1962 - Edward Cummings, mwandishi kutoka Marekani
- 2003 - Alan Dugan, mshairi kutoka Marekani
- 2012 - Michael Clarke Duncan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Gregori I, Febe, Basilisa wa Nikomedia, Sandali wa Cordoba, Mansueto wa Toul, Marino shemasi, Makanisi, Ausani, Vitaliani wa Capua, Remakli, Aigulfi na wenzake, Krodegangi wa Seez, Yohane Pak Hujae na wenzake n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |