12 Desemba
tarehe
(Elekezwa kutoka 12 Disemba)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 12 Desemba ni siku ya 346 ya mwaka (ya 347 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 19.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1750 - Anne Barnard, mwandishi wa kike wa Uskoti na Afrika Kusini
- 1863 - Edvard Munch, mchoraji kutoka Norwei
- 1866 - Alfred Werner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1913
- 1955 - Alfred Leonhard Maluma, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1988 - Brian Umony, mchezaji wa mpira kutoka Uganda
- 1989 - Usama Mukwaya, mwigizaji wa filamu kutoka Uganda
Waliofariki
hariri- 1913 - Menelik II, mfalme mkuu wa Uhabeshi
- 1950 - Peter Fraser, waziri mkuu wa New Zealand
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya Bikira Maria wa Guadalupe, na ya watakatifu Epimako, Aleksanda na wenzao, Spiridioni wa Kupro, Finiani, Korentino, Israeli wa Dorat, Simoni Phan Dac Hoa n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 12 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |