Samoa ya Marekani

(Elekezwa kutoka American Samoa)


Samoa ya Marekani (kwa Kisamoa: Amerika Samoa au Samoa Amelika) ni Eneo la ng'ambo la Marekani katika bahari ya Pasifiki upande wa kusini wa nchi huru ya Samoa.

Bank Kuu Ya Samoa
Amerika Samoa/Samoa Amelika
Samoa ya Marekani
Bendera ya Samoa ya Marekani Nembo ya Samoa ya Marekani
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: "Samoa, Muamua Le Atua"  (Kisamoa)
"Samoa, Mungu awe mwanzo"
Wimbo wa taifa:
Lokeshen ya Samoa ya Marekani
Mji mkuu Pago Pago
{{{latd}}}°{{{latm}}}′ {{{latNS}}} {{{longd}}}°{{{longm}}}′ {{{longEW}}}
Mji mkubwa nchini
Lugha rasmi Kiingereza, Kisamoa
Serikali
Mkuu wa Dola
Gavana

Donald Trump
Lolo Letalu Matalasi Moliga
Eneo la ng'ambo la Marekani
Mkataba wa Berlin wa 1899
Mkataba wa kukabidhi Tutila
Mkataba wa kukabidhi Manu'a
1899
1900
1904
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
199 km² (ya 212)
0
Idadi ya watu
 - 2013 kadirio
 - 2010 sensa
 - Msongamano wa watu
 
54,719 (ya 208)
55,519
326/km² (ya 38)
Fedha US Dollar (USD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-11)
not observed (UTC)
Intaneti TLD .as
Kodi ya simu +1 684

-


Kuna wakazi 54,719 (wengi wakiwa wametokana na wakazi asili) katika eneo la nchi kavu la km² 199.

Eneo lake ni sehemu ya funguvisiwa la Samoa. Kutokea kwa eneo la pekee kulisababishwa na ukoloni wa karne ya 19 ambako Ujerumani na Marekani zilishindana juu ya visiwa hivyo. Funguvisiwa liligawiwa kwa mkataba wa Berlin wa 1899. Sehemu ya mashariki ikawa upande wa Marekani na sehemu ya magharibi upande wa Ujerumani.

Kwa katiba ya mwaka 1967 Samoa ya Marekani ilipewa madaraka ya kujitawala.

Upande wa dini, karibu wote ni Wakristo, hasa Wakalvini (50%) na Wakatoliki (20%), kama si Wamormoni.

Tazama pia

hariri


  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.