3 Desemba
tarehe
(Elekezwa kutoka Desemba 3)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 3 Desemba ni siku ya 337 ya mwaka (ya 338 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 28.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1886 - Karl Manne Siegbahn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1924
- 1900 - Richard Kuhn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1938
- 1933 - Paul Crutzen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1995
- 1946 - Raphael Benedict Mwalyosi, mwanasiasa wa Tanzania
- 1968 - Montell Jordan, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1981 - David Villa, mchezaji wa mpira wa Hispania
Waliofariki
hariri- 1154 - Papa Anastasio IV
- 1552 - Mtakatifu Fransisko Saveri, S.I., padri mmisionari kutoka Hispania, wa kwanza kufika Japani na sehemu nyingine za Asia
- 2000 - Gwendolyn Brooks, mshairi wa kike kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Fransisko Saveri, Nabii Sefania, Kasiani wa Tanja, Birini wa Winchester, Luzi wa Chur n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |