Watawala wa Ethiopia

(Elekezwa kutoka Kutawala Ethiopia)

Orodha ya hapo chini inataja watawala wa Ethiopia tangu nasaba ya Zagwe.

Wafalme wa Aksum na wafalme wa D’mt hawaorodheshwi kutokana na mapengo mengi; tena hakuna uhakika kuhusu mfululizo wao.

(Majina yaliyoandikwa na herufi mlazo yanarejea ama watawala walioasi mtawala rasmi ama watawala wasiotambuliwa na wengi.)

Kipindi Jina la Kuzaliwa Jina la Utawala Maelezo
Nasaba ya Zagwe
Hakuna maafikiano kuhusu vipindi vya watawala wakati wa nasaba ya Zagwe Mara Takla Haymanot
Tatadim
Jan Seyum
Germa Seyum
Yemrehana Krestos
Kedus Harbe
Gebra Maskal Lalibela
Na'akueto La'ab
Yetbarak
Mairari
Harbai
Nasaba ya Solomoni
1270 hadi 1285 Yekuno Amlak Tasfa Iyasus
1285 hadi 1294 Yagbe'u Seyon Salomon I
1294 hadi 1295 Senfa Ared IV
1295 hadi 1296 Hezba Asgad
1296 hadi 1297 Qedma Asgad
1297 hadi 1298 Jin Asgad
1298 hadi 1299 Saba Asgad
1299 hadi 1314 Wedem Arad
1314 hadi 1344 Amda Seyon I Gabra Masqal I
1344 hadi 1372 Newaya Krestos Sayfa Ar`ed
1372 hadi 1382 Newaya Maryam Wedem Asfare; au
Gemma Asfare
1382 hadi 1413 Dawit I
1413 hadi 1414 Tewodros I Walda Ambasa Alitawala miezi 9 tu.
1414 hadi 1429 Yeshaq I
(Isaac)
Gabra Masqal II
1429 hadi 1430 Andreyas
(Andrew)
Alitawala miezi 4 au 6 tu.
1430 hadi 1433 Takla Maryam Hezba Nan
1433 Sarwe Iyasus Mehreka Nan
1433 hadi 1434 Amda Iyasus Badel Nan Alitawala miezi 8 tu.
1434 hadi 1468 Zara Yaqob Kuestantinos I
(Constantine I)
Kuanzia mfalme huyu kuna uhakika wa tarehe za vipindi vya utawala.
1468 hadi 1478 Baeda Maryam I
1478 hadi 1494 Eskender Constantine II
1494 Amda Seyon II Alitawala miezi 6 au 7 tu.
1494 hadi 1508 Na'od
1508 hadi 1540 Dawit II
(David II)
Lebna Dengel
3 Septemba 1540 hadi 23 Machi 1559 Gelawdewos
(Claudius)
Asnaf Sagad I
1559 hadi 1563 Menas Admas Sagad I
1563 hadi 1597 Sarsa Dengel Malak Sagad I
1597 hadi 1603 Yaqob
(Jacob)
Malak Sagad II
1603 hadi 1604 Za Dengel Asnaf Sagad II
1604 hadi 1606 Yaqob
(Jacob)
Malak Sagad II Alirudishiwa utawala
1606 hadi 1632 Susenyos Malak Sagad III Alivishwa taji 18 Machi 1608
1632 hadi 1667 Fasilides
(Basilides)
`Alam Sagad
1667 hadi 1682 Yohannes I
(John I)
A'ilaf Sagad
19 Julai 1682 to
13 Oktoba 1706
Iyasu I
(Iyasu the Great)
Adyam Sagad II
1685 Yeshaq Iyasu ? Alikuwa muasi
27 Machi 1706 hadi
30 Juni 1708
Tekle Haymanot I Le`al Sagad
Septemba 1707 Amda Seyon Alikuwa muasi
1 Julai 1708 hadi
14 Oktoba 1711
Tewoflos
(Theophilus)
Walda Ambasa
1709 hadi Julai 1710 Nebahne Yohannes Alikuwa muasi
14 Oktoba 1711 hadi 19 Februari 1716 Yostos
(Justus)
Sahay Sagad Hakuwa mtawala wa nasaba ya Solomoni; alimpindua Tewoflos.
8 Februari 1716 hadi 18 Mei 1721 Dawit III Adabar Sagad
18 Mei 1721 hadi 1730 Bakaffa Asma Sagad au
Masih Sagad
19 Septemba 1730 hadi 26 Juni 1755 Iyasu II
(Joshua II)
`Alem Sagad
1736 hadi 1737 Atse Hezqeyas Alikuwa muasi
Zemene Mesafint (Kipindi cha Wana Wafalme)
26 Juni 1755 hadi
7 Mei 1769
Iyoas I
(Joas)
Adyam Sagad
7 Mei hadi
18 Oktoba 1769
Yohannes II
(John II)
18 Oktoba 1769 hadi Juni 1770 Tekle Haymanot II Admas Sagad III
Juni hadi Desemba 1770 Susenyos II
18 Oktoba 1769 hadi 13 Aprili 1777 Tekle Haymanot II Admas Sagad III Alirudishiwa utawala.
13 Aprili 1777 hadi 20 Julai 1779 Salomon II
(Solomon II)
20 Julai 1779 hadi 8 Februari 1784 Tekle Giyorgis I
16 Februari 1784 hadi 24 Aprili 1788 Iyasu III
(Joshua III)
1787 hadi 1788 Atse Iyasu Alimpinga Iyasu III
1787 hadi 1788 Atse Baeda Maryam Alimpinga Iyasu III
Februari 1788 hadi 1789 Tekle Haymanot wa Gondar Alimpinga Iyasu III
24 Aprili 1788 hadi 26 Julai 1789 Tekle Giyorgis I Alirudishiwa utawala
26 Julai 1789 hadi Januari 1794 Hezqeyas
(Hezekiah)
Januari 1794 hadi 15 Aprili 1795 Tekle Giyorgis I Alirudishiwa utawala
15 Aprili hadi Desemba 1795 Baeda Maryam II
Desemba 1795 hadi 20 Mei 1796 Tekle Giyorgis I Alirudishiwa utawala
20 Mei 1796 hadi 15 Julai 1797 Salomon III
(Solomon III)
18 Agosti 1797 hadi 4 Januari 1798 Yonas
(Jonah)
4 Januari 1798 hadi 20 Mei 1799 Tekle Giyorgis I Alirudishiwa utawala
20 Mei 1799 hadi 15 Julai 1799 Salomon III
(Solomon III)
Alirudishiwa utawala
25 Julai 1799 hadi 24 Machi 1800 Demetros
(Demetrius)
24 Machi hadi Juni 1800 Tekle Giyorgis I Alirudishiwa utawala
Juni 1800 hadi Juni 1801 Demetros Alirudishiwa utawala
Juni 1801 hadi 3 Juni 1818 Egwale Seyon
19 Juni 1818 hadi 3 Juni 1821 Iyoas II
(Joas II)
3 Juni 1821 hadi Aprili 1826 Gigar
Aprili 1826 Baeda Maryam III
Aprili 1826 hadi 18 Juni 1830 Gigar Alirudishiwa utawala
18 Juni 1830 hadi 18 Machi 1832 Iyasu IV
(Joshua IV)
18 Machi 1832 hadi 8 Juni 1832 Gebre Krestos
Oktoba 1832 hadi 29 Agosti 1840 Sahla Dengel
1832 Egwale Anbesa Alikuwa muasi
30 Agosti 1840 hadi Oktoba 1841 Yohannes III
(John III)
Oktoba 1841 hadi 1845 Sahle Dengel Alirudishiwa utawala
1845 Yohannes III
(John III)
Alirudishiwa utawala
1845 hadi 1850 Sahle Dengel Alirudishiwa utawala
1850 hadi 1851 Yohannes III
(John III)
Alirudishiwa utawala
1851 hadi 11 Februari 1855 Sahle Dengel Alirudishiwa utawala
Nasaba ya Tewodros
9 Februari 1855 hadi 13 Aprili 1868 Kasse Hailu Tewodros II
(Theodore II)
Nasaba ya Zagwe
11 Juni 1868 hadi 11 Julai 1871 Wagshum Gobeze Tekle Giyorgis II
Nasaba ya Tigray
11 Julai 1871 hadi 9 Machi 1889 Kassa Mercha Yohannes IV
(John IV)
Nasaba ya Solomoni
9 Machi 1889 hadi 12 Desemba 1913 Sahle Maryam Menelik II Alikuwa Mfalme wa Shewa kabla hajawa Mfalme Mkuu wa Uhabeshi.
12 Desemba 1913 hadi 27 Septemba 1916 Lij Kifle Yaqub Iyasu V
(Joshua V)
Hakuvishwa taji; aliuzuliwa na malodi kwa kibali cha Kanisa la Kiorthodox la Uhabeshi.
27 Septemba 1916 hadi 2 Aprili 1930 Askala Maryam Zauditu, Mfalme Mkuu wa kike
2 Aprili 1930 hadi 2 Mei 1936 Tafari Makonnen Mfalme Mkuu Haile Selassie Alivishwa taji 2 Novemba 1930
Kumiliki kwa Waitalia
9 Mei 1936 hadi 5 Mei 1941 Viktor Emmanuel III, Alidai cheo cha "Mfalme Mkuu wa Uhabeshi" Hakutambuliwa na wote duniani; aliacha cheo hicho mwaka wa 1943.
Nasaba ya Solomoni
5 Mei 1941 hadi 12 Septemba 1974 Tafari Mekonnen Haile Selassie Alirudishiwa utawala; baadaye aliuzuliwa na Derg.
12 Septemba 1974 Asfa Wossen Amha Selassie Aliteuliwa na Derg, lakini hakuchukua madaraka (alitangazwa Mfalme Mkuu uhamishoni Aprili 1989, alifariki Februari 1997)
Kipindi Jina Cheo Maelezo
Jamhuri ya Uhabeshi
12 Septemba 1974 hadi 17 Novemba 1974 Aman Mikael Andom Mwenyekiti wa Kamati ya Jeshi
17 Novemba 1974 hadi 28 Novemba 1974 Mengistu Haile Mariam Mwenyekiti wa Kamati ya Jeshi kipindi cha kwanza
28 Novemba 1974 hadi 3 Februari 1977 Tafari Benti Mwenyekiti wa Kamati ya Jeshi
11 Februari 1977 hadi 10 Septemba 1987 Mengistu Haile Mariam Mwenyekiti wa Kamati ya Jeshi kipindi cha pili
10 Septemba 1987 hadi 21 Mei 1991 Mengistu Haile Mariam Rais
21 Mei 1991 hadi 28 Mei 1991 Tesfaye Gebre Kidan Rais Mtendaji
28 Mei 1991 hadi 22 Agosti 1995 Meles Zenawi Rais wa Muda
22 Agosti 1995 hadi 8 Oktoba 2001 Negasso Gidada Rais
8 Oktoba 2001 hadi sasa Girma Wolde-Giyorgis Lucha Rais