6 Machi
tarehe
(Elekezwa kutoka Machi 6)
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 6 Machi ni siku ya 65 ya mwaka (ya 66 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 300.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1475 - Michelangelo, msanii kutoka Italia
- 1928 - Gabriel Garcia Marquez, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1982
- 1942 - Flora Purim, mwimbaji kutoka Brazil
- 1949 - Benn Haidari, mpishi wa kiZanzibar nchini Ufini
- 1968 - Moira Kelly
Waliofariki
hariri- 1251 - Mtakatifu Rosa wa Viterbo, bikira Mfransisko kutoka Italia
- 1447 - Mtakatifu Koleta Boylet, bikira Mfransisko kutoka Ufaransa
- 1900 - Gottlieb Daimler, mhandisi kutoka Ujerumani
- 1973 - Pearl S. Buck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1938
- 2005 - Hans Bethe, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1967
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Marsiano wa Tortona, Viktorini wa Nikomedia, Kwiriaki wa Trier, Evagri wa Konstantinopoli, Juliani wa Toledo, Fridolini, Krodegango, Wafiadini wa Amorio, Olegari, Koleta Boylet n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 6 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |