Orodha ya Masultani Waosmani

Orodha hii inataja Masultani wa Milki ya Osmani kuanzia mwaka wa 1299 hadi ukomeshaji wa usultani mwaka wa 1924.

# Sultani Picha Mwanzo wa utawala Mwisho wa utawala Tughra Maelezo
1 Osman I Picha ya Osman I iliyochorwa na John Young c. 1299 c. 1324
[c]
2 Orhan Picha ya Orhan c. 1324 c. 1360 Tughra wa Orhan
  • Mwana wa Osman I na Mal Hatun;
  • Alitawala hadi kifo chake.[2]
3 Murad I
Hüdavendigar
Picha ya Murad I c. 1360 1389 Tughra wa Murad I
4 Bayezid I
Radi wa Umeme
Picha ya Bayezid I iliyochorwa na Cristofano dell'Altissimo 1389 1402 Tughra wa Bayezid I
Kipindi bila mtawala[d]
(1402–1413)
5 Mehmed I Picha ya Mehmed I 1413 1421 Tughra wa Mehmed I
6 Murad II Picha ya Murad II iliyochorwa na John Young 1421 1444 Tughra wa Murad II
7 Mehmed II
Mshindi
Picha ya Mehmed II iliyochorwa Gentile Bellini 1444 1446 Tughra wa Mehmed II
Murad II Picha ya Murad II iliyochorwa na John Young 1446 3 Februari 1451 Tughra wa Murad II
  • Utawala wa pili;
  • Alitawala hadi kifo chake.[6]
Mehmed II
Mshindi
Picha ya Mehmed II iliyochorwa Gentile Bellini 3 Februari 1451 3 Mei 1481 Tughra wa Mehmed II
  • Utawala wa pili;
  • Alitvamia na kutwaa mji wa Konstantinopoli mwaka wa 1453;
  • Alitawala hadi kifo chake.
8 Bayezid II Picha ya Bayezid II iliyochorwa na John Young 19 Mei 1481 25 Aprili 1512 Tughra wa Bayezid II
9 Selim I
Mkatili
Picha ya Selim I iliyochorwa na John Young 25 Aprili 1512 21 Septemba 1520 Tughra wa Selim I
10 Suleiman I
Mtukufu au Mtoaji wa Sheria
Picha ya Suleiman Mtukufu iliyochorwa Nakkaş Osman 30 Septemba 1520 6 au 7 Septemba 1566 Tughra wa Suleiman Mtukufu
11 Selim II
Mlevi
Picha ya Selim II iliyochorwa na John Young 29 Septemba 1566 21 Desemba 1574 Tughra wa Selim II
12 Murad III Picha ya Murad III iliyochorwa na John Young 22 Desemba 1574 16 Januari 1595 Tughra wa Murad III
13 Mehmed III Picha ya Mehmed III iliyochorwa na John Young 27 Januari 1595 20 au 21 Desemba 1603 Tughra wa Mehmed III
14 Ahmed I Picha ya Ahmed I iliyochorwa na John Young 21 Desemba 1603 22 Novemba 1617 Tughra wa Ahmed I
15 Mustafa I Picha ya Mustafa I iliyochorwa na John Young 22 Novemba 1617 26 Februari 1618 Tughra wa Mustafa I
  • Mwana wa Mehmed III na mwanamke asiyejulikana;
  • Aliondoshwa madarakani kwa ajili ya mpwa wake, Osman II.[16]
16 Osman II Picha ya Osman II iliyochorwa na John Young 26 Februari 1618 19 Mei 1622 Tughra wa Osman II
Mustafa I Picha ya Mustafa I iliyochorwa na John Young 20 Mei 1622 10 Septemba 1623 Tughra wa Mustafa I
  • Utawala wa pili;
  • Alirudi madarakani baada ya Osman II kuuawa;
  • Aliondoshwa madarakani tena na kuwekwa kifungoni hadi kifo chake mjini Istanbul tarehe 20 Januari 1639.[16]
17 Murad IV Picha ya Murad IV iliyochorwa na John Young 10 Septemba 1623 8 au 9 Februari 1640 Tughra wa Murad IV
18 Ibrahim Picha ya Ibrahim iliyochorwa na John Young 9 Februari 1640 8 Agosti 1648 Tughra wa Ibrahim
19 Mehmed IV Picha ya Mehmed IV iliyochorwa na John Young 8 Agosti 1648 8 Novemba 1687 Tughra wa Mehmed IV
20 Suleiman II Picha ya Suleiman II iliyochorwa na John Young 8 Novemba 1687 22 Juni 1691 Tughra wa Suleiman II
21 Ahmed II Picha ya Ahmed II iliyochorwa na John Young 22 Juni 1691 6 Februari 1695 Tughra wa Ahmed II
22 Mustafa II Picha ya Mustafa II iliyochorwa na John Young 6 Februari 1695 22 Agosti 1703 Tughra wa Mustafa II
23 Ahmed III Picha ya Ahmed III iliyochorwa na John Young 22 Agosti 1703 1 au 2 Oktoba 1730 Tughra wa Ahmed III
24 Mahmud I Picha ya Mahmud I iliyochorwa na John Young 2 Oktoba 1730 13 Desemba 1754 Tughra wa Mahmud I
25 Osman III Picha ya Osman III iliyochorwa na John Young 13 Desemba 1754 29 au 30 Oktoba 1757 Tughra wa Osman III
26 Mustafa III Picha ya Mustafa III iliyochorwa na John Young 30 Oktoba 1757 21 Januari 1774 Tughra wa Mustafa III
27 Abdülhamid I Picha ya Abdülhamid I iliyochorwa na John Young 21 Januari 1774 6 au 7 Aprili 1789 Tughra wa Abdülhamid I
28 Selim III Picha ya Selim III iliyochorwa Konstantin Kapidagli 7 Aprili 1789 29 Mei 1807 Tughra wa Selim III
  • Mwana wa Mustafa III na Mihrişah Sultan;
  • Aliondoshwa madarakani;
  • Aliuawa mjini Istanbul tarehe 28 Julai 1808.[29]
29 Mustafa IV Picha ya Mustafa IV iliyochorwa na John Young 29 Mei 1807 28 Julai 1808 Tughra wa Mustafa IV
30 Mahmud II Picha ya Mahmud II iliyochorwa na John Young 28 Julai 1808 1 Julai 1839 Tughra wa Mahmud II
31 Abdülmecid I Picha ya Abdülmecid I 1 Julai 1839 25 Juni 1861 Tughra wa Abdülmecid I
32 Abdülaziz Picha ya Abdülaziz 25 Juni 1861 30 Mei 1876 Tughra wa Abdülaziz
  • Mwana wa Mahmud II na Sultana Pertevniyal;
  • Aliondoshwa madarakani na mawaziri wake;
  • Aligunduliwa amefariki baada ya siku tano (haijulikani kama amejiua au ameuawa).[33]
33 Murad V Picha ya Murad V 30 Mei 1876 31 Agosti 1876 Tughra wa Murad V
34 Abdülhamid II
Sultani Mwekundu
Picha ya Abdülhamid II 31 Agosti 1876 27 Aprili 1909 Tughra wa Abdülhamid II
  • Mwana wa Abdülmecid I na Tirimüjgan Sultan;
  • Chini ya utawala wake katiba ya nchi ikaanzishwa;
  • Aliondoshwa madarakani;
  • Aliwekwa kifungoni katika Ikulu ya Beylerbeyi Alipofariki tarehe 10 Februari 1918.[35]
35 Mehmed V Picha ya Mehmed V 27 Aprili 1909 3 Julai 1918 Tughra wa Mehmed V
36 Mehmed VI Picha ya Mehmed VI iliyochorwa Sebah & Joaillier 4 Julai 1918 1 Novemba 1922 Tughra wa Mehmed VI
  • Mwana wa Abdülmecid I na Gülistan Sultan;
  • Usultani umekomeshwa;
  • Aliondoka Istanbul tarehe 17 Novemba 1922;
  • Alifariki uhamishoni mjini Sanremo, Italia tarehe 16 Mei 1926.[37]
Mwisho wa Milki ya Osmani[e]
(1922–1923)
Abdülmecid II
(Khalifa tu)
Picha ya Abdülmecid II 18 Novemba 1922 3 Machi 1924
[c]

Marejeo

hariri
  1. "Sultan Osman Gazi". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  2. "Sultan Orhan Gazi". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  3. "Sultan Murad Hüdavendigar Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  4. "Sultan Yıldırım Beyezid Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  5. "Sultan Mehmed Çelebi Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  6. 6.0 6.1 "Sultan II. Murad Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  7. 7.0 7.1 "Chronology: Sultan II. Murad Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-04-07.
  8. "Fatih Sultan Mehmed Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  9. "Sultan II. Bayezid Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  10. "Yavuz Sultan Selim Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  11. "Kanuni Sultan Süleyman Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  12. "Sultan II. Selim Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  13. "Sultan III. Murad Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  14. "Sultan III. Mehmed Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  15. "Sultan I. Ahmed". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  16. 16.0 16.1 "Sultan I. Mustafa". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  17. "Sultan II. Osman Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  18. "Sultan IV. Murad Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  19. "Sultan İbrahim Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  20. "Sultan IV. Mehmed". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  21. "Sultan II. Süleyman Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  22. "Sultan II. Ahmed Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  23. "Sultan II. Mustafa Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  24. "Sultan III. Ahmed Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  25. "Sultan I. Mahmud Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  26. "Sultan III. Osman Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  27. "Sultan III. Mustafa Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  28. "Sultan I. Abdülhamit Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  29. "Sultan III. Selim Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  30. "Sultan IV. Mustafa Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  31. "Sultan II. Mahmud Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  32. "Sultan Abdülmecid Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  33. "Sultan Abdülaziz Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  34. "Sultan V. Murad Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  35. "Sultan II. Abdülhamid Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  36. "Sultan V. Mehmed Reşad Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  37. "Sultan VI. Mehmed Vahdettin Han". Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki). Iliwekwa mnamo 2009-02-06.
  38. As̜iroğlu 1992, p. 13
  39. As̜iroğlu 1992, p. 17
  40. As̜iroğlu 1992, p. 14