Soko la hisa

(Elekezwa kutoka Soko la Hisa)

Soko la hisa (kwa Kiingereza "stock exchange") ni mahali pa biashara ya hisa za makampuni.

New York Stock Exchange ni soko la hisa lenye biashara nyingi duniani.

Mara nyingi "soko la hisa" lamaanisha taasisi au jengo ambako biashara hii inafanywa. Lakini jina hili laweza pia kumaanisha jumla ya biashara ya hisa katika nchi fulani au katika tawi la uchumi (ing. "share / stock market") kwa kujumlisha taasisi mbalimbali katika nchi au biashara kwa njia ya intaneti.

Masoko ya hisa muhimu ya kimataifa

Masoko ya hisa muhimu zaidi barani Afrika

Kwa jumla kuna masoko ya hisa 29 barani Afrika yanayohudumia nchi 38.

Kuna masoko ya hisa 2 ya kikanda ambayo ni:

Masoko ya hisa ya kwanza katika Afrika yaliundwa Misri (mwaka 1883), Afrika Kusini (mwaka 1887) na Moroko (1929).

Nchi/ Kanda Soko la Hisa Mahali lilianzishwa Idadi ya makampuni Kiungo
Soko la hisa la Afrika Magharibi Bourse Régionale des Valeurs Mobilières Abidjan (  Côte d'Ivoire) 1998 39 BRVM
  Algeria Soko la hisa Algiers Algiers 1997 3 SGBV
  Botswana Soko la hisa Botswana Gaborone 1989 44 BSE
  Cameroon Soko la hisa Douala Douala 2001 2 DSX
  Egypt Soko la hisa Misri Kairo, Aleksandria 1883 EGX Ilihifadhiwa 22 Oktoba 2011 kwenye Wayback Machine.
  Cape Verde Soko la hisa Cabo Verde Mindelo BVC
  Eswatini Soko la hisa Eswatini* Mbabane 1990 10 ESE Ilihifadhiwa 19 Juni 2021 kwenye Wayback Machine.
  Ghana Soko la hisa Ghana Accra 1990 28 GSE
  Kenya Soko la hisa Nairobi Nairobi 1954 50 NSE
  Libya Soko la hisa Libya Tripoli 2007 7 LSM Ilihifadhiwa 14 Januari 2018 kwenye Wayback Machine.
  Malawi Soko la hisa Malawi Blantyre 1995 8 MSE
  Mauritius Soko la hisa Morisi Port Louis 1988 40 SEM
  Morocco Soko la hisa Casablanca Casablanca 1929 81 Casa SE Ilihifadhiwa 24 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine.
  Mozambique Soko la hisa Msumbiji Maputo 1999 BVM
  Namibia Soko la hisa Namibia Windhoek 1992 NSX
  Nigeria Soko la hisa Abuja Abuja 1998 ASCE Ilihifadhiwa 1 Februari 2007 kwenye Wayback Machine.
Soko la hisa Nigeria Lagos 1960 223 NSE Ilihifadhiwa 6 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine.
  Rwanda Soko la hisa Rwanda Kigali 2005 4 RSE
  Seychelles Soko la hisa Shelisheli* Victoria 2012 10 SSE Ilihifadhiwa 27 Oktoba 2012 kwenye Wayback Machine.
  South Africa Soko la hisa Johannesburg Johannesburg 1887 410 JSE
  Sudan Soko la hisa Khartum Khartum KSE Ilihifadhiwa 27 Novemba 2012 kwenye Wayback Machine.
  Tanzania Soko la hisa Dar es Salaam Dar es Salaam 1998 17 DSE
  Tunisia Soko la hisa Tunisia Tunis 1969 56 BVMT
  Uganda Soko la hisa Uganda Kampala 1997 14 USE
  Zambia Soko la hisa za kilimo Zambia Lusaka 2007 ZAMACE
Soko la hisa Lusaka Lusaka 1994 16 LuSE
  Zimbabwe Soko la hisa Zimbabwe Harare 1993 81 ZSE

Viungo vya nje

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Soko la hisa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.