13 Aprili
tarehe
(Elekezwa kutoka Aprili 13)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 13 Aprili ni siku ya 103 ya mwaka (ya 104 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 262.
Matukio
hariri- 1055 - Uchaguzi wa Papa Viktor II
- 1598 - Mfalme Henri IV wa Ufaransa atoa tamko la Nantes linalowapa Waprotestanti haki sawa na Wakatoliki nchini Ufaransa na kumaliza vita vya madhehebu
Waliozaliwa
hariri- 1906 - Samuel Beckett, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1969
- 1909 - Eudora Welty, mwandishi kutoka Marekani
- 1922 - "Mwalimu" Julius Nyerere, Rais wa kwanza na "Baba wa Taifa" wa Tanzania
- 1939 - Seamus Heaney, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1995
- 1940 - J. M. G. Le Clézio, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2009
- 1941 - Michael Brown, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1985
- 1944 - Euphrase Kezilahabi, mwandishi Mtanzania
- 1947 - Rae Armantrout, mshairi kutoka Marekani
- 1955 - Ronald Muwenda Mutebi II, mfalme wa Buganda
Waliofariki
hariri- 1868 - Tewodros II, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi
- 1904 - Vasili Vereshchagin, mchoraji kutoka Urusi
- 1993 - Wallace Stegner, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Martin I, Karpo, Papilo na wenzao, Orso wa Ravenna, Ermengild, Karadoki, Margerita wa Città di Castello, Saba Reyes n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 13 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |