21 Desemba
tarehe
(Elekezwa kutoka Desemba 21)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 21 Desemba ni siku ya 355 ya mwaka (ya 356 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 10.
Matukio
hariri- 164 KK - Yuda Mmakabayo anatakasa hekalu la Yerusalemu
- 1124 - Uchaguzi wa Papa Honorius II
Waliozaliwa
hariri- 1890 - Hermann Muller, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1946
- 1890 - Frances Goodrich, mwandishi kutoka Marekani
- 1917 - Heinrich Boll, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1972
- 1949 - Thomas Sankara, Rais wa Burkina Faso (1983-1987)
- 1966 - Kiefer Sutherland, mwigizaji wa filamu kutoka Kanada
- 1971 - Natalie Grant, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1597 - Mtakatifu Petro Kanisi, S.I., padri na mwalimu wa Kanisa kutoka Uholanzi
- 1839 - Mtakatifu Andrea Dung-Lac, padri mfiadini kutoka Vietnam
- 1937 - Frank Kellogg, mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1929
- 1980 - Marc Connelly, mwandishi kutoka Marekani
- 1988 - Nikolaas Tinbergen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973
- 2009 - Edwin Krebs, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1992
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Petro Kanisi, Nabii Mika, Themistokle wa Myra, Petro Truong Van Thi n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 21 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |