20 Februari
tarehe
(Elekezwa kutoka Februari 20)
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 20 Februari ni siku ya hamsini na moja ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 314 (315 katika miaka mirefu).
Matukio
hariri- 1878 - Uchaguzi wa Papa Leo XIII
- 1962 - John Glenn anazunguka dunia katika chombo cha angani akiwa Mmarekani wa kwanza kufanya hivyo
Waliozaliwa
hariri- 1893 - Russel Crouse, mwandishi kutoka Marekani
- 1937 - Robert Huber, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1988
- 1966 - Dennis Mitchell, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani
- 1977 - Zoltán Trepák, mchezaji wa mpira kutoka Hungaria
- 1988 - Rihanna, mwimbaji kutoka Barbados
Waliofariki
hariri- 1431 - Papa Martin V
- 1790 - Kaisari Joseph II wa Ujerumani
- 1907 - Henri Moissan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1906
- 1916 - Klas Pontus Arnoldson, mwanasiasa Msweden, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908
- 1972 - Maria Goeppert-Mayer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Serapioni wa Aleksandria, Wafiadini watano wa Turo, Tiranioni na Zenobi, Eleuteri wa Tournai, Eukeri wa Orleans, Leo wa Catania, Yasinta wa Fatima n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Archived 13 Machi 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 20 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |