10 Mei
tarehe
(Elekezwa kutoka Mei 10)
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 10 Mei ni siku ya 130 ya mwaka (ya 131 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 235.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1265 - Fushimi, mfalme mkuu wa Japani (1287-1298)
- 1878 - Gustav Stresemann, mwanasiasa Mjerumani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1926
Waliofariki
hariri- 1424 - Go-Kameyama, mfalme mkuu wa Japani (1383-1392)
- 1569 - Mtakatifu Yohane wa Avila, padri na mwalimu wa Kanisa kutoka Hispania
- 1737 - Nakamikado, Mfalme Mkuu wa 114 wa Japani (1709-1735)
- 1904 - Henry Morton Stanley, mwandishi wa habari kutoka Welisi na Marekani aliyesafiri hasa Afrika Mashariki
- 1950 - John Gould Fletcher, mwandishi na mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane wa Avila, Ayubu, Dioskoridi, Alfio na wenzake, Gordiani, Kwarto na Kwinto, Kongal, Kataldo wa Taranto, Solange, Wiliamu wa Pontoise n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 10 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |