12 Mei
tarehe
(Elekezwa kutoka Mei 12)
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 12 Mei ni siku ya 132 ya mwaka (ya 133 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 233.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1401 - Shoko, mfalme mkuu wa Japani (1412-1428)
- 1820 - Florence Nightingale, muuguzi mashuhuri kutoka Uingereza
- 1895 - William Giauque, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1949
- 1910 - Dorothy Hodgkin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1964
- 1915 - Frere Roger (Roger Schutz), mtawa kutoka Uswisi
- 1930 - Mazisi Kunene, mwandishi kutoka Afrika Kusini
Waliofariki
hariri- 1003 - Papa Silvester II
- 1012 - Papa Sergio IV
- 1871 - Daniel Auber, mtunzi wa muziki Mfaransa
- 1884 - Bedřich Smetana, mtunzi wa muziki kutoka Ucheki
- 1925 - Amy Lowell, mshairi kutoka Marekani
- 1970 - Nelly Sachs, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1966
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Nerei na Achilei, Pankrasi wa Roma, Sirili na wenzake, Epifani wa Salamina, Filipo wa Agira, Modoaldi, Rikitrude, Jermano wa Konstantinopoli, Dominiko wa Calzada n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 12 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |