4 Oktoba
tarehe
(Elekezwa kutoka Oktoba 4)
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Oktoba ni siku ya 277 ya mwaka (ya 278 katika miaka mirefu). Zinabaki siku 88 mpaka mwaka uishe.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1542 - Mtakatifu Roberto Bellarmino, askofu na mwalimu wa Kanisa kutoka Italia
- 1822 - Rutherford B. Hayes, Rais wa Marekani (1877-1881)
- 1839 - Mtakatifu Fransisko Fogolla, O.F.M., askofu Mkatoliki kutoka Italia na mmisionari mfiadini nchini Uchina
- 1916 - Vitali Ginzburg, mwanafizikia kutoka Urusi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2003
- 1917 - Violeta Parra, mwimbaji na mwanasiasa wa Chile
- 1918 - Kenichi Fukui, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1981
- 1938 - Kurt Wüthrich, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2002
- 1941 - Anne Rice, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 1961 - Salim Abdalla Khalfan, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1962 - Ruth Blasio Msafiri, mwanasiasa wa Tanzania
- 1984 - Kelvin Yondan, mcheza mpira wa Tanzania
Waliofariki
hariri- 1305 - Kameyama, mfalme mkuu wa Japani (1259-1274)
- 1582 - Mtakatifu Teresa wa Yesu, bikira mwanzilishi wa Wakarmeli Peku na mwalimu wa Kanisa kutoka Hispania
- 1669 - Rembrandt, mchoraji kutoka Uholanzi
- 1947 - Max Planck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1918
- 1974 - Anne Sexton, mshairi kutoka Marekani
- 2000 - Michael Smith, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1993
- 2014 - William Shija, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 2015 - Christopher Mtikila, mwanasiasa kutoka Tanzania
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Fransisko wa Asizi, Petroni wa Bologna, Kwintini wa Tours, Aurea wa Paris n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Archived 13 Machi 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |