Rhode Island ni jimbo la Marekani na jimbo dogo nchi nii. Jimbo uko la Atlantiki na upande wa mashariki ya nchi.

Sehemu ya Jimbo la Rhode Island








Rhode Island
Little Rhody

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Providence
Eneo
 - Jumla 4,002 km²
 - Kavu 2,706 km² 
 - Maji 1,295 km² 
Tovuti:  http://www.ri.gov/

Mji mkuu na mji mkubwa ni Providence. Imepakana na Massachusetts na Connecticut. Jimbo lina wakazi wapatao 1,050,788 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 4,002.

Ilikuwa moja ya koloni 13 asilia za Uingereza zilizoasi dhidi ya nchi mama tangu mwaka 1776 na kuanzisha Maungano ya Madola ya Amerika.

Viungo vya Nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rhode Island kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.