[[Picha: :Charlestonhome.jpg|thumbnail|right|280px|Sehemu ya Jimbo la South Carolina]]

maeneo yaliyoathiriwa na corona Carolina ya kusini








South Carolina
Palmetto State

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Columbia
Eneo
 - Jumla 82,932 km²
 - Kavu 77,983 km² 
 - Maji 4,949 km² 
Tovuti:  http://www.sc.gov/

South Carolina (Karolina ya Kusini) ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kusini-mashariki ya Marekani bara. Imepakana na North Carolina, Georgia na Bahari ya Atlantiki.

Mji mkuu pia mji mkubwa wa jimbo ni Columbia. Kati ya miji mingine yenye maana ni Charleston, Greenville, Spartanburg, Anderson, Sumter, and Florence.

South Carolina ilikuwa koloni ya Uingereza tangu 1729 na pia moja kati ya koloni 13 zilizoasi dhidi ya Uingereza mwaka 1776 na kuunda nchi mpya ya Marekani tangu 1778.`

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu South Carolina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.