9 Septemba
tarehe
(Elekezwa kutoka Septemba 9)
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 9 Septemba ni siku ya 252 ya mwaka (ya 253 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 113.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 214 - Aurelian, Kaisari wa Dola la Roma
- 384 - Honorius, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi (395-423)
- 1922 - Hans Georg Dehmelt, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1989
- 1923 - Carleton Gajdusek, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1976
- 1950 - Zubain Muhaji Mhita, mwanasiasa wa Tanzania
- 1966 - Adam Sandler, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1983 - Kristine Hermosa, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
Waliofariki
hariri- 1901 - Henri de Toulouse-Lautrec, mchoraji wa Ufaransa
- 1943 - Charles McLean Andrews, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1985 - Paul Flory, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1974
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Petro Claver, Gorgoni wa Roma, Yasinto wa Sabina, Kieran Kijana n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 9 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |