11 Mei
tarehe
(Elekezwa kutoka 11. 5.)
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 11 Mei ni siku ya 131 ya mwaka (ya 132 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 234.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1852 - Charles Fairbanks, Kaimu Rais wa Marekani
- 1904 - Salvador Dali, mchoraji kutoka Hispania
- 1916 - Camilo Jose Cela, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1989
- 1918 - Richard Feynman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965
- 1924 - Antony Hewish, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1974
- 1952 - Mary Nagu, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki
hariri- 1781 - Mtakatifu Ignas wa Laconi, bradha wa shirika la Ndugu Wadogo kisiwani Sardinia
- 1963 - Herbert Spencer Gasser, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944
- 1981 - Odd Hassel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1969
- 1981 - Bob Marley, mwanamuziki kutoka Jamaika
- 1996 - Nnamdi Azikiwe, Rais wa kwanza wa Nigeria
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Mayulo, Antimo wa Roma, Mosyo wa Bizanti, Mamerto, Gangolfi, Mayolo wa Cluny, Walter wa Esterp, Fransisko De Geronimo, Ignas wa Laconi, Mathayo Le Van Gam n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Archived 24 Juni 2007 at the Wayback Machine.
- On this day in Canada Archived 2012-12-16 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 11 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |