Jumuiya ya Nchi za Kiarabu

(Elekezwa kutoka Arab League)

Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ni ushirikiano wa nchi za Afrika ya Kaskazini na Asia ya Magharibi. Ilianzishwa na nchi zinazokaliwa hasa na Waarabu. Imepokea pia nchi kama Komori zisizotumia Kiarabu kama lugha rasmi.

Nchi za Kiarabu
Wanachama za Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Kijani nyeusi: wakazi wengi hutumia Kiarabu
Kijani nyeupe: maeneo ya nchi wanachama ambako wenyeji hawatumii Kiarabu kama lugha ya kwanza
kijani milia:wasemaji wa Kiarabu ni wachache; katika Jibuti, Somalia na Komori si lugha rasmi ya serikali

Nchi wanachama ni (pamoja na tarehe ya kujiunga):

Nchi zilizoanzisha jumuiya

hariri

Nchi zilizojiunga baadaye

hariri