Turkana (ziwa)

Ziwa la alkali kwenye mpaka wa Ethiopia na Kenya
(Elekezwa kutoka Lake Turkana)

3°35′N 36°7′E / 3.583°N 36.117°E / 3.583; 36.117


Ziwa Turkana
Ziwa Turkana
Ziwa Turkana
Mahali Afrika ya Mashariki
Nchi zinazopakana Kenya (Ethiopia ina pembe ya kaskazini kabisa)
Eneo la maji km² 6.405
Kina cha chini m 73
Mito inayoingia Omo, Turkwel, Kerio na mingine mingi
Mito inayotoka --
Kimo cha uso wa maji
juu ya UB
375 m
Miji mikubwa ufukoni (vijiji vichache tu)

Ziwa Turkana ni ziwa kubwa lililopo katika kaskazini yabisi ya Kenya. Halina mto unaotoka, hivyo maji yanayoingia yanapotea kwa njia ya uvukizaji. Kwa jumla ni ziwa la Kenya lakini ncha ya kaskazini iko ndani ya Ethiopia. Ni pia ziwa la jangwani liliko kubwa kuliko yote duniani.

Eneo na tabia za ziwa

hariri

Umbo la ziwa ni kama kanda ndefu inayoelea kutoka kaskazini kwenda kusini. Urefu wa ziwa ni kilomita 290, upana wake hadi kilomita 32. Eneo la maji ni km² 6,405. Ndani ya ziwa kuna visiwa vitatu vidogo vinyavoitwa Kisiwa cha kusini, cha kati na cha kaskazini.

Turkana ni ziwa la magadi lakini maji yake hunywewa na watu na wanyama na yanawezesha viumbehai wengi kuishi ndani yake.

Hifadhi za wanyama kwenye ziwa Turkana zimeorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia, zikiwemo Hifadhi ya Taifa ya Sibiloi (mashariki kwa ziwa), Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Kati na Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Kusini (visiwani).

Mazingira hayo yote yanahatarishwa sasa na ujenzi wa lambo la Gilgel Gibe III kwenye mto Omo unaochangia ziwa kwa kiasi kikubwa.

 
Ziwa Turkana linavyoonekana kutoka angani.

Wenyeji wametumia majina mbalimbali kufuatana na lugha zao. Waturkana hutumia "anam Ka'alakol" yaani "ziwa la samaki wengi". Wapelelezi Wazungu wa karne ya 19 walisikia jina la "Basso Narok" ingawa haieleweki hii ilikuwa lugha gani.

Kimataifa ziwa lilijulikana zamani kwa jina la "Ziwa Rudolph" (Rudolfsee, Lake Rudolph) lililotolewa na mpelelezi Mhungaria Sámuel Teleki kwa heshima ya mtemi Rudolph, mtoto wa mfalme wa Austria-Hungaria.

Visiwa vinavyopatikana katika ziwa hilo

hariri

Mito inayochangia ziwa

hariri

Kutoka Ethiopia

hariri

Mto wa kwanza kabisa katika kuchangia ziwa Turkana (90% hivi) uko upande wa Ethiopia: ni mto Omo (na matawimto yake na ya mito midogo zaidi inayoyachangia, kama Mto Usno, Mto Mago, Mto Neri, Mto Mui, Mto Mantsa, Mto Zigina, Mto Denchya, Mto Gojeb, Mto Gibe, Mto Gilgel Gibe, mto Amara, mto Alanga, Mto Maze na Mto Wabe. Miaka mingine Mto Kibish pia unafikia ziwa hilo.

Kutoka Kenya

hariri

Mito mingine mingi inachangia pia ziwa Turkana upande wa Kenya, ingawa si kwa kiasi kile cha mto Omto; ni hii ifuatayo: • Mto AbelibelMto AberitMto AguliMto Ainabkoi (ziwa Turkana)Mto AinoMto Aiye Nai-Anginyang-KiporrMto AkaderteMto AkatelyanMto AkatwanMto AkeriemetMto AkhuryaMto AkiriametMto AkopeMto AkoresMto AkouaekoriMto AkukuthMto AlaleMto AlamongesMto AlelalokeyaMto AlongolomoiMto AmelaromuryankolMto AmunyaiMto AnamMto AnamutonMto AnanoiMto AngamojakMto AngaroMto AngmatiaMto AngorangoraMto AnomatMto AnyagalimMto ApaigironMto ApowMto ArauMto ArionomurMto ArogaMto ArorrMto Arorr (West Pokot)Mto AsasumMto AteadMto AterrMto AtirMto AtotMto AuanaparanMto Ayonai AterrMto AyonaialopakalumongMto BarawaMto BaruaMto BulethMto CheberenMto CheberkeriungoMto CheborgoMto ChekolatomMto ChemeriMto ChemeroiMto ChemongesMto ChemosusuMto ChemwapitMto ChepareriaMto ChepkobehMto ChepkondolMto ChepkuloiMto ChepololMto ChepropoiMto CheptakMto CheptandanMto CheptilonMto CherialMto ChesabetMto CheseraMto ChesoiMto ChiapanMto ChukulukongMto DidingaMto DupasMto EkebekebyekeMto EkwapalopyotMto EmanimanMto EmanitMto EmbamachukwaMto EmbamonMto EmbasosMto EmbobitMto EmboghMto EmbomorukMto Embong'Mto EmpungungMto EmseaMto EmsoMto EnbenyeMto EndoMto EndoghMto EnopoghMto EnumpapaMto EpuryamudangMto EronMto ErronMto EtebusaitMto EtioninMto GachiengurMto GanathawaoleMto GaterukMto GochobolokMto GoisoiMto GurgurMto HabokokMto IangMto IkalotonyangMto IneletumMto IryionomochMto JabanMto KaabilikeretMto KaaboleMto KaakworMto KaalingMto KaangoleMto KaapusMto KaaronikagieteMto KaawatMto KabanyetMto KabaraitMto KabelangoleMto KabokuliMto KabwangederrMto KabyenMto KachakarimochMto KachalakinMto KacharMto KachodaMto KachokeMto Kachuro MonginMto KadingetomMto KadoupokimakMto KaekalkiryonMto KaekudokolMto KaemasekinMto Kaeri AkakMto KaetakoMto KagiroMto Kai-EkongoMto KaiboniMto KaichomMto KaiechechMto KaiegilaiMto KaiekoropusMto KaiekunyangMto KaiekunyukMto KaiemuteMto KaikirrMto KaikobaMto KaikorMto KaimoMto KainyangakokMto KainyangalokMto KaiothinMto KaitakalchwelMto KaitioMto KajukujukMto KakalelMto KakedmosingMto KakelaiMto KakiporomwoiMto KakoreMto KakumioMto KakurioMto KakuroetomMto KakweMto KalabataMto Kalabata (korongo la Turkana)Mto KalachirMto KalainMto KalakolMto KalatumMto KalempusMto KalewaMto KalimarokMto KalimhaunMto KalochoroMto KalokerithMto KalokholeMto KalokodoMto KalokoelMto KalokopirrMto KalonyangkoriMto KalopetoMto KaloponogoleMto KalorithMto KalorukongoleMto KalosiaMto KalotimanMto KalotumokoiMto KaloyapamugieMto KamarethiMto KamarleiMto Kamila (West Pokot)Mto KamodoMto KamogoroMto KamumaMto KanaikiMto KanakiMto KanamukuinMto KanangorMto KanaodonMto KanaroMto KanathuwatMto Kang'wakMto KangachinMto KangakiMto KangakurioMto KangalemoMto KangebetMto Kangetet (Turkana)Mto KangibenyoiMto KangimedrMto KangisiriteMto KangoliMto KanguwapetaMto KanigiyumMto KanugurumeriMto KanyangarengMto Kao (Turkana)Mto KapchebuMto KapchepgeroMto KapelikoriMto KaperarengamMto KapetaMto KapimMto KapkobeMto KapleelMto KapsangMto KaptaritMto KapuaMto KaramuroiMto Kare-KapakalemMto KareburrMto KarkalMto KarubangorokMto KarunkyukuriMto KasaguruMto KataboiMto KaterukMto KathunguruMto KatikMto KatikithikiriaMto KatikoMto KatirikikiMto KatirrMto KatmeritMto KatupeMto KaupaMto Kauriong'Mto KauriungMto Kawala (Turkana)Mto KawalatheMto KawalathiMto KawianguliMto KayekongaiMto KeesigiriaMto KemaguriatMto Kerio (korongo)Mto KerioMto KerisMto KeritunetMto KeryemeryemeMto KesokMto KianantuingMto KibaasMto KibainoMto KiberegetMto KibiemitMto KiblabotMto KikenMto KimaguhirMto KinoinoiMto KipkanyilatMto KipsangMto KipsiwaraMto KiptalyungMto KiptunolMto KirumbopsoMto KobothanMto KocharMto KochodinMto KochokioMto KochuchMto KoduaranMto KogeneMto KokiseleiMto KokitheleiMto KokolopitMto KokotenMto KokotheleiMto KokothowaMto KokureMto KolokMto KolomokoriMto KolonyadarshMto KomakataeMto Komen AngalioMto KomocheriMto KopatiaMto KopedoMto KopetoMto KopuaiMto KordeiMto KorinyangMto KortokoilMto KosibirrMto KotarukMto KothiaiMto KotomeMto KunyaoMto KurumboniMto Lachoa AchilaMto Laga SapariMto Laga Tulu-BorMto LaisamisMto LaminkwaisMto LawawetMto LazuliMto LeleanMto LenchukutiMto LetMto LoarengakMto LobokatMto LoborioMto LoburetMto LochanMto LocharakhiangMto LocheremoitMto LochilMto Lochore-AngdapalaMto LochoroMto LochurututuMto LochwaiMto LogeMto LogogoMto LogumMto LoitanMto LoiyaMto LokalaleMto LokapetemoiMto LokeduleMto LoketiMto LokhosinyakhoriMto LokicharMto LokidongoMto LokimyelMto LokiporrangithikiriaMto LokirikipiMto LokitoinyalaMto LokomoruMto LokoparaparaiMto LokopelMto LokoreMto LokorikipiMto Lokosima-ekoriMto LokuchoMto LokusoMto LokwakipiMto LokwamurMto LokwanamoruMto LokwathinyonMto LokwatubwaMto LoliiMto LolimMto LolmortonMto LomeiyenMto LomekwiMto LomeloMto Lomunyan-AkirichokMto LomunyenakwanMto LomuryamugeMto Long'enyaMto LongeleiyaMto LonginyaMto LoochukMto LoolimoMto LoolungMto LoparokowayenMto LoperichichMto LopiripiraMto LopotwaMto LopurotoMto LorengMto LorengaloupMto LorugumuMto LotepakiruMto LothajaitMto LotimanMto LotiraiMto LotongotMto LotukalesMto LowothaMto LowoyegweliMto LoyaMto Loyai EngoleMto LukwakoreMto LuturutMto MacheremoweMto MakurinyaMto MalmalteMto MamchorMto MamponichMto MarchauiMto MarichaMto Marie MokaleMto MarinMto MarsoMto MarunMto MaseiMto Mboo SangaraoMto MindiMto MkorwaMto MogoruaMto MoinoiMto MontiMto MorokMto MortorthMto MugurrMto MunyenMto Munyen (korongo)Mto Murua NyaapMto MurukirionMto MusgutMto NaalimatumakMto NabarMto Nabelete AkoitMto NabergoitMto NabukutMto NabwalekorotMto NachalalMto NachedetMto NachooMto NachukuiMto NachurokaaliMto NadopuaMto NaedakalMto NaekitoenyalaMto NaeyepunetebuMto NagaramoroiMto NagitokonokMto NagolaMto NagomolkipikMto Nagum NapalaMto NaichetarukoinMto NaijokoreMto NaireponMto NaitangroMto NaithilumMto NaiyenaMto Naiyena AngilimoMto Naiyena AregaeMto Naiyena EkalaleMto Naiyena EnyathanaitMto Naiyena KabaranMto NaiyenaelimMto Naiyenai AtulelaMto Naiyenai KororonMto NakabothanMto NakadongotMto NakalalaiMto Nakalale (korongo)Mto NakapeliowoiMto NakaterretaiMto NakatonMto NakatoniMto NakauronMto NakayotMto NakejuamothingMto NakeridanMto NakerikanMto NakeromanMto NakilimaMto NakilowonokMto NakipomyeMto Nakito-KononMto NakitonguroMto NakoretMto NakuijitMto NakurioMto NakuwotomMto NakwakalMto NakwamosingMto NakweeMto NakweheMto NakweiMto NalepetMto NalibamunMto NamanikoMto NamejanitMto NameturanMto NamuroiMto NanamakaliMto NangamanatMto NanukorMto NaoiatubaMto NaoiyapieMto NaonMto NapasMto NapatonMto NapeichomMto NapeitanitMto NapeitauMto NapiotMto NaporotoMto NapowMto NarengmorMto NariokotomeMto NarodiMto NarototinMto NarubuMto NasorrMto NataparaMto NathagaitMto NathekunaMto NathuraMto NathurukenMto NatieketMto NatirMto Natira (Kenya)Mto NatomeMto NatooMto NatudauMto NatumamongMto NaurutoMto NawakiringMto NawatonMto NawoiaekalaleMto Nayanae KoorinMto NderemonMto NgakileMto NgatagoinMto NgilimoMto NgipurryoMto NgiputireMto NgirengoMto NgombeiMto NgrombweMto NguapetMto NguruthioMto NinyitMto NitelejorMto NiteleyoMto NyapareiMto NyikimMto OkilimMto OleyapareMto OrengaloupMto OropoiMto PechipetMto PerekonMto PesikMto PongungMto PulichonMto ReberwaMto RiritianMto RogochMto SagatMto SamakitokMto SamukeMto SasameMto SebitMto Sergoi (West Pokot)Mto SergothwaMto SeruachMto Siga (West Pokot)Mto SikawaMto SinjoMto SiwaMto SostinMto SowayanMto SuamMto Suguta (Kenya)Mto TamaberoMto TamassMto TamoghMto TangasiaMto TerikMto ThapetMto ThoroMto TindarrMto TirkenMto TiyaMto ToperrnawiMto TorokMto TughaMto TurkwelMto Tusa (ziwa Turkana)Mto TutuweiMto UlugutheMto Wei WeiMto YemeninMto Yeptos

Kutoka Uganda

hariri

Mito ifuatayo kutoka Uganda inachangia pia ziwa Turkana kupitia Kenya: Mto Arionomunyen, Mto Chosan, Mto Ekiringura, Mto Kacholese, Mto Kalodurr, Mto Kalopomongole, Mto Kanyagareng, Mto Komongim, Mto Koromoich, Mto Laburin, mto Lobuloyin, Mto Lochorakwangen, Mto Lodias, Mto Loitabela, Mto Lomapus, Mto Lopedot, Mto Naakot, Mto Nabunei, Mto Nakakerikeri, Mto Nakalale, Mto Nakatuman, Mto Namusio, Mto Nangolipia, Mto Natire, Mto Naunyet, Mto Nauyagum, Mto Onogin na Mto Otiko.

Kutoka Sudan Kusini

hariri

Mito mingine inayochangia ziwa hilo inaanzia Sudan Kusini, hasa mto Kibish.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Turkana (ziwa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.