Papa Zakarya

Mt. Zakaria Papa.

Papa Zakarya alikuwa papa kuanzia 10 Desemba 741 hadi kifo chake tarehe 22 Machi 752.

Jina la baba yake lilikuwa Polichronios, kutoka Calabria, Italia.

Alimfuata Papa Gregori III akafuatwa na Papa Stefano II.

Alitangazwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Machi.

Tazama piaEdit

Maandishi yakeEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Zakarya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.