11 Agosti
tarehe
(Elekezwa kutoka 11. 8.)
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 11 Agosti ni siku ya 223 ya mwaka (ya 224 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 142.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1858 - Christiaan Eijkman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1929
- 1921 - Alex Haley, mwandishi kutoka Marekani
- 1926 - Aaron Klug, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1982
- 1988 - Angel Kamugisha, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
Waliofariki
hariri- 1253 - Mtakatifu Klara wa Asizi, bikira Mfransisko kutoka Italia
- 1890 - Mtakatifu John Henry Newman, padri kardinali kutoka Uingereza
- 1937 - Edith Wharton, mwandishi kutoka Marekani
- 1972 - Max Theiler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1951
- 2006 - Mazisi Kunene, mwandishi kutoka Afrika Kusini
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Klara wa Asizi, Aleksanda wa Makaa, Tibursi wa Roma, Suzana wa Roma, Rufino wa Asizi, Kasiano wa Benevento, Taurini wa Evreux, Atrata, Equisi, Gaugeriki wa Cambrai, Rustikula n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-10 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 11 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |