Eneo bunge la Kasarani
(Elekezwa kutoka Eneo Bunge la Kasarani)
Eneo bunge la Kasarani ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge kumi na saba katika Kaunti ya Nairobi. Eneo lote la bunge hili liko katika eneo la Baraza la Mji wa Nairibi. Lilikuwa linajulikana kama Eneo Bunge la Nairobi Northeast katika uchaguzi wa miaka 1963 na 1969, na kama Eneo Bunge la Mathare katika uchaguzi wa kuanzia mwaka wa 1974 hadi uchaguzi mdogo wa mwaka wa 1994. Tangu uchaguzi wa 1997, limekuwa likijulikana kama Eneo Bunge la Kasarani.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Wabunge
haririMwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Munyua Waiyaki | KANU | |
1969 | Munyua Waiyaki | KANU | Mfumo wa Chama kimoja. |
1974 | Munyua Waiyaki | KANU | Mfumo wa Chama kimoja. |
1979 | Munyua Waiyaki | KANU | Mfumo wa Chama kimoja. |
1983 | Andrew Ngumba | KANU | Mfumo wa Chama kimoja. Ngumba alitoroka nchini mwaka wa 1986[2]. |
1986 | Josephat Karanja | KANU | Uchaguzi mdogo, Mfumo wa Chama kimoja. |
1988 | Josephat Karanja | KANU | Mfumo wa Chama kimoja. |
1992 | Muraya Macharia | FORD-Asili | |
1994 | Fredrick Masinde | Democratic Party (DP) | Uchaguzi mdogo Masinde alifariki, na kusababisha uchaguzi mwingine mdogo [3]. |
1994 | Ochieng Mbeo | Ford-Kenya | Uchaguzi mdogo (wapili katika mwaka wa 1994) |
1997 | Adolf Muchiri | NDP | |
2002 | William Omondi | NARC | |
2007 | Elizabeth Ongoro | ODM |
Kata na Wadi
haririKata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Githurai | 66,979 |
Kahawa | 44,660 |
Kariobangi | 99,825 |
Kasarani | 52,386 |
Korogocho | 61,294 |
Roysambu | 38,441 |
Ruaraka | 110,686 |
Jumla | 338,202 |
sensa ya 1999. |
Wadi | |
Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa |
---|---|
Githurai | 18,976 |
Kahawa | 12,940 |
Kariobangi North | 15,543 |
Kasarani | 13,034 |
Korogocho | 17,842 |
Mathare 4 A | 16,930 |
Roysambu | 10,464 |
Ruaraka | 110,686 |
Utalii/Babadogo | 22,495 |
Jumla | 128,224 |
*Septemba 2005 |[4]. |
Marejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Paliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Daily Nation, 18 Februari 2002: A position dogged by controversy
- ↑ Daily Nation, 2002: Is re-election likely for MP?
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya nje
hariri- Eneo Bunge la Kasarani Ilihifadhiwa 3 Septemba 2010 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kasarani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |