18 Januari
tarehe
(Elekezwa kutoka Januari 18)
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 18 Januari ni siku ya kumi na nane ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 347 (348 katika miaka mirefu).
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1835 - César Cui, mtunzi wa opera kutoka Urusi
- 1849 - Edmund Barton, Waziri Mkuu wa kwanza wa Australia
- 1867 - Rubén Darío, mwandishi kutoka Nikaragua
- 1955 - Kevin Costner, mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani
- 1986 - Ropa Garise, mwanamitindo kutoka Zimbabwe
Waliofariki
hariri- 1271 - Mtakatifu Margareta wa Hungaria, O.P., bikira
- 1471 - Go-Hanazono, mfalme mkuu wa Japani (1428-1464)
- 1862 - John Tyler, Rais wa Marekani (1841-1845)
- 1936 - Rudyard Kipling, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1907
- 1982 - Huang Xianfan, mwanahistoria kutoka China
- 1995 - Adolf Butenandt, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1939
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Suksesi, Paulo na Lusio, Koskoni, Zenoni na Melanipo, Volusiano wa Tours, Priska wa Roma, Deikolo abati, Margareta wa Hungaria n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 18 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |