15 Julai
tarehe
(Elekezwa kutoka Julai 15)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 15 Julai ni siku ya 196 ya mwaka (ya 197 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 169.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 980 - Ichijo, mfalme mkuu wa Japani (986-1011)
- 1606 - Rembrandt, mchoraji kutoka Uholanzi
- 1850 - Mtakatifu Frances Cabrini, bikira kutoka Italia na mmisionari nchini Marekani
- 1918 - Bertram Brockhouse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1994
- 1921 - Robert Merrifield, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1984
- 1922 - Leon Lederman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1988
- 1949 - Anna Semamba Makinda, spika wa bunge nchini Tanzania
- 1949 - Richard Russo, mwandishi kutoka Marekani
- 1956 - Chacha Zakayo Wangwe, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki
hariri- 1274 - Mtakatifu Bonaventura wa Bagnoregio, askofu wa shirika la Ndugu Wadogo na mwalimu wa Kanisa kutoka Italia
- 1904 - Anton Chekhov, mwandishi Mrusi
- 1919 - Hermann Emil Fischer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1902
- 1932 - Cornelis Langenhoven, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1948 - John J. Pershing, jenerali kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Bonaventura wa Bagnoregio, Eutropi, Zosima na Bonosa, Felisi wa Thibiuca, Katulino na wenzake, Filipo na watoto kumi, Abumedi, Yakobo wa Nisibi, Plekelmi, Gumbati, Yosefu wa Thesalonike, Atanasi wa Napoli, Vladimir wa Kiev, Ansuero na wenzake, Daudi wa Uswidi, Pompili Maria Pirrotti, Petro Nguyen Ba Tuan, Andrea Nguyen Kim Thong n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 15 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |