5 Oktoba
tarehe
(Elekezwa kutoka Oktoba 5)
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Oktoba ni siku ya 278 ya mwaka (ya 279 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 87.
Matukio hariri
Waliozaliwa hariri
- 1829 - Chester Arthur, Rais wa Marekani (1881-1885)
- 1879 - Peyton Rous, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1966
- 1919 - Donald Pleasence, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 1950 - Edward P. Jones, mwandishi kutoka Marekani
Waliofariki hariri
- 1880 - Jacques Offenbach, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1938 - Mtakatifu Faustina Kowalska, bikira kutoka Polandi
- 1976 - Lars Onsager, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1968
- 2004 - Maurice Wilkins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
- 2011 - Steve Jobs, mvumbuzi na mfanyabiashara kutoka Marekani
Sikukuu hariri
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Maria Faustina Kowalska, Wafiadini wa Trier, Karitina, Mamlacha, Apolinari wa Valence, Plasido, Froilano, Atilano, Ana Schaeffer, Trankwilino Ubiarco n.k.
Viungo vya nje hariri
- BBC: On This Day Archived 9 Novemba 2006 at the Wayback Machine.
- Today in Canadian History[dead link]
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |