Wikipedia:Wakabidhi

(Elekezwa kutoka Wikipedia:Administrators)

== Jalada (Archive) ==


Usimamizi wa Wikipedia ya Kiswahili

Kwa jumla shughuli za usimamizi ni pamoja na: kupitia mara kwa mara ukurasa wa Mabadiliko ya karibuni, kuangalia makala mpya na mabadiliko, kufuta spam dhahiri, kupeleka makala zisizofaa kwenye ukurasa wa ufutaji, kushiriki katika ufutaji, kukaribisha wageni. Kila mtumiaji anaweza kushiriki katika sehemu kubwa ya kazi hizo.

Wanawikipedia wamechaguliwa kutekeleza shughuli za pekee zisizopatikana kwa kila mtu.

Mkabidhi ni mhariri anayeweza kutumia zana za kifundi, kwa mfano, kufuta makala kabisa, kuhifadhi makala, kuzuia waharibifu na kadhalika. Mkabidhi ni msaidizi tu. Hana hukumu maalum juu ya maandishi ya makala au sera ya kamusi elezo.

Bureaucrat (ni neno la Kiingereza, maana yake ni mfanyakazi wa uendeshaji wa serikali au ushirika mwingine). Ana uwezo wa kumfanya mtu kuwa mkabidhi, kubadilisha jina la mtumiaji na kuteua akaunti ya kikaragosi ("set bot flag", kwa Kiingereza).

Wakabidhi (Administrators)

(orodha imeangaliwa upya katika uchaguzi uliokwisha tarehe 22 Septemba 2020).

BOTs: please use the Wikipedia:Bots page to request bot status, and one of the bureaucrats will deal with it.

Kama mtumiaji aliyekuwa mkabidhi hajahariri kwenye swwiki kwa muda wa mwaka mmoja anafutwa kama mkabidhi.

Jenga Wikipedia ya Kiswahili

Wakabidhi walianzisha kundi la Jenga Wikipedia ya Kiswahili. Kama umekuwa mchangiaji hapa swwiki kwa muda wa mwaka 1 au zaidi na ungependa kujadiliana nasi kuhusu njia za kuendeleza Wikipedia hii ya Kiswahili, basi tembelea ukurasa ule wa Meta na ujiandikishe.

Ona pia

Mabadiliko ya uongozi

Ndugu, baadhi ya viongozi wa Wikipedia yetu wameacha kazi muda mrefu. Kumbe wamejitokeza wengine, tena wenyeji. Nimeona pia kwamba wanalalamikia hali ya sasa ya viongozi wengi kutokea nchi za mbali. Kwa nini tusirekebishe hali hiyo? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:06, 25 Aprili 2020 (UTC)

Naona wafuatao walikuwa wakabidhi lakini hawakuonekana tena muda mrefu. Ninapendekeza tukubali utaratibu ufuatao:
  • kama mtumiaji aliyekuwa mkabidhi hajahariri kwenye swwiki kwa muda wa mwaka mmoja anafutwa kama mkabidhi
  • Kufuatana na pendekezo hili wafuatao hawakuonekana muda mrefu hivyo wangefutwa kama wakabidhi: mtumiaji:Baba Tabita (tangu 26 Septemba 2018, alituaga), mtumiaji:Malangali (tangu mwaka 2015), mtumiaji:Sj (tangu Julai 2019, tangu 2015 aliingia mara 3), ;
  • mtumiaji:Ndesanjo hakuonekana tena tangu Novemba 2019 hivyo angebaki kufuatana na pendekezo la juu. Alikuwa mmoja wa waanzilishi wa swwiki, alikuwa mbali muda mrefu alirudi 2019.

Kipala (majadiliano) 09:02, 23 Julai 2020 (UTC)

Shughuli zinazotekelezwa na wakabidhi

Ifuatayo ni takwimu ya kazi ya wakabidhi kufuatana na takwimu hii. Inaonyesha kwamba wale wenye haki za ukabidhi wanatekeleza kwa viwango tofauti, na kazi nyingi zinatekelezwa na wachache mno. Napeleka hii hapa pamoja na ombi 1) waliopo humu wajitahidi kushiriki zaidi; 2) tuangalie nani anafaa kuongezwa katika idadi hiyo (pamoja na kuondoa hao ambao wameondoka).

Shughuli la ukabidhi zilizotekelezwa
Na. Mtumiaji ana haki za alitumia haki mara ngapi Futa kurasa Kubatilisha “futa” Futa kumbukumbu Rudisha Zuia mtumiaji Batilisha “zuia” Linda kurasa Batilisha “linda”
1 Riccardo Riccioni Mkabidhi (admin) 300 149 0 0 0 145 1 5 0
2 Kipala bureaucrat, mkabidhi (admin) 141 46 0 0 0 28 2 65 0
3 Jadnapac mkabidhi (admin) 6 3 0 0 0 1 0 1 1
4 Muddyb bureaucrat, mkabidhi (admin) 6 3 0 0 0 0 0 3 0
5 ChriKo mkabidhi (admin) 3 3 0 0 0 0 0 0 0

Kipala (majadiliano) 17:47, 30 Agosti 2020 (UTC)

Kuangalia upya orodha ya Wakabidhi kwa Mwaka 2020 na utaratibu wa kupiga kura KURA IMEFUNGWA

Hatujasahihisha orodha ya wakabidhi tangu 2014; wengine hawaonekani tena, na kazi inafanywa na wachache mno. Tunahitaji A) mapatano jinsi ya kuondoa wale ambao hawapo tena na B) wakabidhi wa nyongeza.

Utaratibu wa kupiga kura

Utaratibu ufuatao umekubaliwa kati ya wakabidhi waliopo (tazama ukurasa wa majadiliano)

a) Mpiga kura awe aliyewahi kuandikishwa tangu mwezi 1 (hatutaki waliojiandikisha jana kwa kumpigia kura rafiki leo)
b) aliyewahi kuhariri makala 3 kwenye swwiki (nje ya ukurasa wake mwenyewe; haitoshi kutunga/kusahihisha makala 1-2 pekee)
c) aliyehariri katika miezi 12 kabla ya kura yetu

A.) Pendekezo la kuwa na wakabidhi hai KURA IMEFUNGWA

Kulingana na utaratibu jinsi ilivyo katika wikipedia nyingi inapendekezwa

A) Mkabidhi ambaye hajahariri kwa miezi 12 anaondolewa haki zake za ukabidhi; akirudi anaweza kurudishwa kwa mapatano ya wakabidhi waliopo
B) Mkabidhi aliyepo na kuhariri ataendelea (linganisha orodha juu kabisa)

Ukubali au upinge pendekezo hili; bofya "hariri chanzo" upande wa "Ninakubali" au "Sikubali" na weka alama ya ~~~~ kama sahihi yako. Anzisha kila mstari mpya kwa alama ya *

Ninakubali Pendekezo A) IMEKUBALIWA (kura 11 halali, kura 1 ya mtumiaji asiye na michango ya kutosha)

Sikubali Pendekezo A)

B.) Pendekezo la kuchagua wakabidhi wapya KURA IMEFUNGWA. Wote waliopendekezwa wamepita, wamepokea haki za ukabidhi

  • Unaweza kuangalia michango ya mtumiaji kwenye miradi yote ukiandika username hapa

*Kwa kila jina linalotajwa kuna historia fupi ya kuhariri kwake: idadi ya kuhariri katika swwiki, (katika miradi mingine), lini alichangia mara ya mwisho kabla ya tar. 1 Septemba 2020

Hapa tutaje jina la mtumiaji. Tutafakari vema kama maarifa yake na historia ya uhariri vitamsaidia kutekeleza wajibu. Andika jina lake badala ya "NN" na weka alama (sahihi) yako ya ~~~~ kwa "Nakubali". Kama huna jina la kupendekeza, angalia waliotajwa/waliopendekezwa tayari na uweke alama (sahihi) yako baada ya "Nakubali" / "Sikubali". Baada ya siku 10 (tarehe 14 Septemba 2020) zoezi la upigaji kura litafungwa na matokeo yatatangazwa.

Alihariri: swwiki mara 1,393 (commons mara 2,543), mara ya mwisho kabla ya Septemba: 31 Agosti 2020

'Nakubali:'Aneth David (majadiliano) 11:18, 4 Septemba 2020 (UTC), Kipala (majadiliano) 08:36, 4 Septemba 2020 (UTC)BrixL (majadiliano) 10:25, 4 Septemba 2020 (UTC) --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:59, 4 Septemba 2020 (UTC)--Jadnapac (majadiliano) 12:06, 4 Septemba 2020 (UTC)- Czeus25 Masele (majadiliano) 14:27, 4 Septemba 2020 (UTC)-RollarTz (majadiliano) 05:42, 5 Septemba 2020 (UTC) Ebenezer Mlay (majadiliano) 17:36, 4 Septemba 2020 (UTC) Idd ninga (majadiliano) 17:31, 4 Septemba 2020 (UTC)̠ Olimasy (majadiliano) 13:29, 5 Septemba 2020 (UTC)-manguboy (majadiliano) 23:04, 8 Septemba 2020 (UTC) -ChriKo (majadiliano) 12:34, 9 Septemba 2020 (UTC) --'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 08:50, 12 Septemba 2020 (UTC)

Sikubali:

Alihariri: swwiki mara 500 (commons mara 1,671), mara ya mwisho kabla ya Septemba: 15 Agosti 2020

Nakubali: Idd ninga (majadiliano) 06:56, 4 Septemba 2020 (UTC) --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:59, 4 Septemba 2020 (UTC)--Jadnapac (majadiliano) 12:06, 4 Septemba 2020 (UTC) - Czeus25 Masele (majadiliano) 14:27, 4 Septemba 2020 (UTC)- Ebenezer Mlay (majadiliano) 17:36, 4 Septemba 2020 (UTC) ana maarifa pande mbalimbali, mtumiaji hai--Kipala (majadiliano) 11:21, 5 Septemba 2020 (UTC)-Olimasy (majadiliano) 13:29, 5 Septemba 2020 (UTC) -ChriKo (majadiliano) 12:34, 9 Septemba 2020 (UTC) --'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 08:50, 12 Septemba 2020 (UTC)

Sikubali:

Alihariri: swwiki mara 1,242 (commons mara 42, wikidata mara 143), mara ya mwisho kabla ya Septemba: 30 Agosti 2020

Nakubali:--Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:59, 4 Septemba 2020 (UTC)--;Jadnapac (majadiliano) 12:06, 4 Septemba 2020 (UTC); ana maarifa mazuri, mwanawikipedia hai Kipala (majadiliano) 14:00, 4 Septemba 2020 (UTC) - Czeus25 Masele (majadiliano) 14:27, 4 Septemba 2020 (UTC) —Ebenezer Mlay (majadiliano) 17:36, 4 Septemba 2020 (UTC) Idd ninga (majadiliano) 17:25, 4 Septemba 2020 (UTC)-Olimasy (majadiliano) 13:29, 5 Septemba 2020 (UTC)-manguboy (majadiliano) 23:04, 8 Septemba 2020 (UTC) -ChriKo (majadiliano) 12:34, 9 Septemba 2020 (UTC) --'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 08:50, 12 Septemba 2020 (UTC)

Sikubali:

Alihariri: swwiki mara 827 (enwiki mara 13) , mara ya mwisho kabla ya Septemba:18 Agosti 2020

Nakubali:--Jadnapac (majadiliano) 12:06, 4 Septemba 2020 (UTC) --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:56, 4 Septemba 2020 (UTC) - Czeus25 Masele (majadiliano) 14:27, 4 Septemba 2020 (UTC) Ebenezer Mlay (majadiliano) 17:36, 4 Septemba 2020 (UTC) ana maarifa, mtumiaji haiKipala (majadiliano) 11:18, 5 Septemba 2020 (UTC)-Olimasy (majadiliano) 13:29, 5 Septemba 2020 (UTC)-manguboy (majadiliano) 23:04, 8 Septemba 2020 (UTC) -ChriKo (majadiliano) 12:34, 9 Septemba 2020 (UTC) --'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 08:50, 12 Septemba 2020 (UTC)

Sikubali:

Alihariri: swwiki mara 57 (commons mara 73), mara ya mwisho kabla ya Septemba: 16 Mei 2020

Nakubali:--Jadnapac (majadiliano) 12:06, 4 Septemba 2020 (UTC) --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:56, 4 Septemba 2020 (UTC) - Czeus25 Masele (majadiliano) 14:27, 4 Septemba 2020 (UTC) Ebenezer Mlay (majadiliano) 17:36, 4 Septemba 2020 (UTC) Idd ninga (majadiliano) 17:31, 4 Septemba 2020 (UTC)-Olimasy (majadiliano) 13:29, 5 Septemba 2020 (UTC)-manguboy (majadiliano) 23:04, 8 Septemba 2020 (UTC) --'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 08:50, 12 Septemba 2020 (UTC)


Sikubali:anaweza kufaa lkn amehariri kidogo mno pia hakuonekana miezi 3 Kipala (majadiliano) 15:11, 4 Septemba 2020 (UTC)

Alihariri: swwiki mara 696 (enwiki mara 38), mara ya mwisho kabla ya Septemba: 30 Mei2020

Nakubali:--Jadnapac (majadiliano) 12:06, 4 Septemba 2020 (UTC) --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:00, 4 Septemba 2020 (UTC) - Czeus25 Masele (majadiliano) 14:27, 4 Septemba 2020 (UTC)- Ebenezer Mlay (majadiliano) 17:36, 4 Septemba 2020 (UTC)-Olimasy (majadiliano) 13:29, 5 Septemba 2020 (UTC)-manguboy (majadiliano) 23:04, 8 Septemba 2020 (UTC) --'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 08:50, 12 Septemba 2020 (UTC)

Sikubali: ana maarifa lkn hajaingia tangu miezi 3 Kipala (majadiliano) 15:11, 4 Septemba 2020 (UTC)