31 Desemba
tarehe
(Elekezwa kutoka 31. 12.)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 31 Desemba ni siku ya 365 ya mwaka (ya 365 katika miaka mirefu). Daima ni ya mwisho.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1378 - Papa Callixtus III
- 1491 - Jacques Cartier, mpelelezi wa Amerika ya Kaskazini kutoka Ufaransa
- 1572 - Go-Yozei, mfalme mkuu wa Japani (1586-1611)
- 1869 - Henri Matisse, mchoraji kutoka Ufaransa
- 1934 - Chedieli Yohane Mgonja, mwanasiasa wa Tanzania
- 1937 - Avram Hershko, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2004
- 1948 - Donna Summer
- 1958 - Defao, mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 1968 - Junot Díaz, mwandishi kutoka Marekani
- 1977 - Psy, mwimbaji kutoka Korea Kusini
Waliofariki
hariri- 335 - Mtakatifu Papa Silvester I
- 878 - Seiwa, mfalme mkuu wa Japani (858-876)
- 1864 - George Mifflin Dallas, Kaimu Rais wa Marekani (1845-1849)
- 2009 - Rashidi Kawawa, waziri mkuu wa Tanzania
- 2022 - Papa Benedikto XVI, Papa wa Kanisa Katoliki miaka 2005 - 2013
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Silvester I, Donata, Paulina na wenzao, Kolomba wa Sens, Zotiko wa Konstantinopoli, Melania Kijana na Piniani, Barbasiani wa Ravenna, Yohane Fransisko Regis, Katerina Labouré n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 31 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |